Haloteli wameondoa bando la internet la Usiku Unlimited

Haloteli wameondoa bando la internet la Usiku Unlimited

Kawaida sana tu,hata hili litazoeleka,na ukisema sana watakujibu watanzania wanapenda vitu vya bure,poor service,kuna haja mitandao ya simu ipewe bei elekezi na masharti makubwa watanyooka,wakikimbia tutarudi nyumba kupanogesha.
Word√√
 
Kwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu.

Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao tunaweza kupata huduma ya internet usiku kwa bei poa?
Hakuna
 
Back
Top Bottom