Hawa halotel ZANZIBAR speed yao ya internet ni ya kobekwa wale wapenzi wakudownlaod movies games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolea na kushushwa mpaka GB 5 tu, je wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao tunaweza kupata huduma ya internet usiku kwa bei poa?
Ndiyo wamesha nunuliwa na tigoHawa halotel ZANZIBAR speed yao ya internet ni ya kobe
Airtel ni mtanadao wa ovyo kwa sehemu kubwa. Kifurushi unkinunua umeliwaHamia Airtel bado kipo
Kweli kabisa Airtel ni taka taka😬Airtel ni mtanadao wa ovyo kwa sehemu kubwa. Kifurushi unkinunua umeliwa
Toka lin wametoa mkuuu daa kiukwl ni pigo kwa mimi niliekuwa na download season za kihind zenye episode 620 na Zaid ntatesek SanaKwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu.
Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao tunaweza kupata huduma ya internet usiku kwa bei poa?
Kipo....Hats airtel naona mb600 Kwa tshs 500 ile unlimited sioni tena
Asante sana
tatizo LA mitandao yote hiloAlafu mnaolalamima kuwa Airtel ni mtandao mbovu angalieni na maeneo mliyopo.
Mie kwangu si haba....huwa inaenda mpaka 2mb/s nikiwa nadownload. Lakini kuna maeneo nikienda inakuwa inasua sua.
yaani mi mwenyewe pigo kubwa maana nilikua nadownload vitu kibao kwa hicho kifurushi kama series,courses zenye uzito mkubwa, labda ilikua wanatuvutia tu tuingie kwenye mtandao wao mpya sasa washazoeleka wanatuletea mambo ya tigoToka lin wametoa mkuuu daa kiukwl ni pigo kwa mimi niliekuwa na download season za kihind zenye episode 620 na Zaid ntatesek Sana