Haloteli wezi sana wa bando

Haloteli wezi sana wa bando

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.

Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
 
Hata mm najiunga Mb wanasema wamenipa na bonus ya week mfn Gb 2.5 ila siku .mbili hazivuki, na hakuna ninachofanya zaidi ya matumiz ya hapo awali kbla huu wizi kuanza
Kabisa,ila mi na waambia wasipo acha litawakuta jambo
 
Bora hao halotel
Hawa hawana ubora wwte,Tena Nina line Yao ya internet tu,bando lao linaaniza 5000 wiki y'apo ad ya Lak Tisa uko kwa mwaka,sasa mwanzo nilikua natumia 5 ad Saba sasaiv 5000 iishe kwa siku 1 bila matumizi yoyote ya msingi aaah uwongo huo
 
Nimekwambia zingine wanatumia kukutrack ulipo
 
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.

Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
Polee Mkuu karibu kwenye ulimwengu wa unlimited bando
 
Back
Top Bottom