Haloteli wezi sana wa bando

Haloteli wezi sana wa bando

Mmmmh kuna vitu mnajiunga bila kujua MBn Halotel wapi og
Kwa hapo nyuma, saivi kwanza ikifika jjon wanaslow speed au kupoteza network kisha wakirejesha huduma inasoma salio la Mb limeisha, unajiuliza net ilipokuwa slow kumbe ni sababu walikuwa kufyonz bundle kila simu iliyo on
 
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.

Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
Hawa wavietnum Sasa wameshakuwa kama ccm TU!
 
weka vocha ndugu wacha porojo bando si kupauwa kwamba ukiweka umeweka
 
Kwa hapo nyuma, saivi kwanza ikifika jjon wanaslow speed au kupoteza network kisha wakirejesha huduma inasoma salio la Mb limeisha, unajiuliza net ilipokuwa slow kumbe ni sababu walikuwa kufyonz bundle kila simu iliyo on
MN Wana ujanja wa kenge kumbee
 
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.

Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
Hayo majizi
 
Zuia background use of data , kuna app zinakula bando lako hata kama hujazifungua .

Suhisho ni kuzuia
 
Mmmmh kuna vitu mnajiunga bila kujua MBn Halotel wapi og
Unajua natumia line gan ad useme ivyo
Natumia line ya internet tu iyo haipig,haitum mesej,haitoi pesa Wala kuweka pesa zaidi ya vocha tu kwaajili ya kujiunga na Bando,haha huduma gan unazo zisemea ww
 
Kwa hapo nyuma, saivi kwanza ikifika jjon wanaslow speed au kupoteza network kisha wakirejesha huduma inasoma salio la Mb limeisha, unajiuliza net ilipokuwa slow kumbe ni sababu walikuwa kufyonz bundle kila simu iliyo on
Yaan umepita mule mule ukizima data ukija kuwasha hakuna bando
 
Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tu😤😤,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.

Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani 🤔🤔
Je setting za simu yako, hakuna app zinzorun background?! au autoupdates??
 
Back
Top Bottom