Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
πππ Kule mjini bhana ππ nakosaje sema situmii Ile litesi tulikubaliana Wana JF hawatumii FB?
Hii ni fimbo....
Kwa kweli ndo kilicho bakBadilisha tu mtandao,malalamiko hayatoisha
Zamani wapi?Wiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tuπ€π€,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.
Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani π€π€
Neno zamani ujuiππZamani wapi?
π€£π€£π€£Nimefurahi kukuona MagicNeno zamani ujuiππ
Wacha mapuuza kwenye ukweli mkuu
πππππ Aya bhana ππ€£π€£π€£Nimefurahi kukuona Magic
Kabisa,ila mi na waambia wasipo acha litawakuta jamboHata mm najiunga Mb wanasema wamenipa na bonus ya week mfn Gb 2.5 ila siku .mbili hazivuki, na hakuna ninachofanya zaidi ya matumiz ya hapo awali kbla huu wizi kuanza
Hawa hawana ubora wwte,Tena Nina line Yao ya internet tu,bando lao linaaniza 5000 wiki y'apo ad ya Lak Tisa uko kwa mwaka,sasa mwanzo nilikua natumia 5 ad Saba sasaiv 5000 iishe kwa siku 1 bila matumizi yoyote ya msingi aaah uwongo huoBora hao halotel
π³π³Zingine wanazitumia kukutrack ulipo unawasiliana na nani n so on haupo salama
Nimekwambia zingine wanatumia kukutrack ulipoHawa hawana ubora wwte,Tena Nina line Yao ya internet tu,bando lao linaaniza 5000 wiki y'apo ad ya Lak Tisa uko kwa mwaka,sasa mwanzo nilikua natumia 5 ad Saba sasaiv 5000 iishe kwa siku 1 bila matumizi yoyote ya msingi aaah uwongo huo
Polee Mkuu karibu kwenye ulimwengu wa unlimited bandoWiki ya tatu Sasa niki weka bando la GB 4 la wiki yaan linaisha ndan ya siku Moja tuπ€π€,ukiangalia sijaingia popote pale panapo kula mb Zaid ya mjini fb na WhatsApp tu.
Huu wizi mtapoteza wateja sana,kwann msiache mteja atumie mb zake mwenyewe ad ziishe kama zamani π€π€