Hama hama ya viongozi wa CHADEMA inarudisha nyuma hamasa ya vijana kuupambania upinzani

Hama hama ya viongozi wa CHADEMA inarudisha nyuma hamasa ya vijana kuupambania upinzani

Pesa na vyeo. Ndani ya cdm huwezi pata hivyo. Mnyika na Lema nao watafuata. Haswa Mnyika na Msigwa ni kama walichelewa kuhamia ccm, ila kwa nyakati tofauti walishafika bei kwenye utawala wa dhalimu magu.

Kwa bahati mbaya hawaiongezea ccm mvuto kwa kuhamja, bali wanawaongezea idadi ya viongozi wa upinzani waliohamia ccm. Nina hakika atapewa vipindi kwenye media mbalimbali ili aichafue cdm, kisha baada ya hapo atakaa kwa kutulia kusubiri alichoahidiwa na ccm.

..kama Upendo Peneza.
 
Upinzani ni Ideology mkuu sujui ni lini mtaelewa hili, Upinzani sio Political Party. Kama mnawaza hivyo mtachelewa sana kupara mabadiliko.
Ideology gani ya kusema hapana Kwa kila kitu? Kuhama Kwa msigwa ni uthibitisho Kwamba njaa ndizo zinasumbua. Keki ikitengwa mezani mtahama Hadi makwenu.
 
Haswa Mnyika na Msigwa ni kama walichelewa kuhamia ccm
Ukimya wa Mnyika una walakini sana ktk uhai wake ndani ya chadema. Soon tutakutana na breaking news kumhusu.
 
Siku Wananchi watapoacha kufanya upinzani kwa kutegemea vyama vya upinzani mambo yatabadilika haraka sana. Upinzani usiotegemea vyama kama ule wa Kenya ndio unaofaaa.
 
Vijana wa Tz wako bize na yafuatayo
1. Mitandao
2. Miziki
3. Michezo (Mpira ndio sana)
4. Mapenzi
5. Upwiru (kutafuta pisi zenye misambwanda mikubwa)

Kila mtu ashinde mechi zake 🤣
Mkuu, ukisema msambwanda huna haja ya kusema mkubwa..msambwanda tayari ni kota kubwa
 
Kuhaahama chana ndio siasa zenyewe tatuzo la wanachadema wengi ni moja tu, mtu akihama chama chenu mnamtusi na kumuita msaliti ila akihamia kwenu mnasema demokrasia. Sababu za mtu kuhama chama zipo nyingi ikiwemo kutoridhizishwa na baadhi ya mambo kwenye chama kwa wakati fulani hivyo anaweza rudi pale hayo mambo yakirekebishwa.

Pia ikumbukwe kuna wanasiasa wapo kwa ajili ya kusaka pesa, vyeo na madaraka hawa nao nikuwavumilia tu na haina haja ya kumtukana pale anapohama sababu kuna siku anaweza rudi, na kuna wengine wapo kwa ajili ya kujenga nchi na sio chama hivyo wanatafuta upenyo wa kwenda kufanya hivyo hasa kupitia chama tawala. Pia ikumbukwe mtaji wa siasa ni watu na hawa wanasiasa pamoja na mapungufu yao wana wafuasi nyuma.
 
Upinzani ni Ideology mkuu sujui ni lini mtaelewa hili, Upinzani sio Political Party. Kama mnawaza hivyo mtachelewa sana kupara mabadiliko.
Unaongelea nini? Ideology bila watu? Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upinzani ni Political party..
 
Kuna jamaa mmoja alishinda jimbo kubwa dar akauunga juhudi akawadharau watu waliwoweka vidole gumba akauunga juhudi enzi zile sasahivi yuko mtaani kumbe alikuwa mapepe katupwa kule mjinga sana yule jamaa wa jimbo kubwa la uswahilini aliloshinda akalitupa jalalani mjinga sana yule jamaa
 
Acheni watu wahame, ni matumizi sahihi ya uhuru wao.
Mbowe ameigeuza chadema kuwa kama kampuni yake binafsi, hivi mnategemea nini? Kila tukijaribu kuwashauri ni wakati muafaka kwa mbowe kuondoka, nyie mnasema mbowe is here to stay; matokeo yake ametengeneza makundi ndani ya chama ili yalinde maslahi yake. Chaguzi za chama zimejaa rushwa utafikiri chadema ni idara ya ccm!
Na bado, watu zaidi wataondoka, unless kutokee mabadiliko makubwa kwenye chama.
 
Kuhaahama chana ndio siasa zenyewe tatuzo la wanachadema wengi ni moja tu, mtu akihama chama chenu mnamtusi na kumuita msaliti ila akihamia kwenu mnasema demokrasia. Sababu za mtu kuhama chama zipo nyingi ikiwemo kutoridhizishwa na baadhi ya mambo kwenye chama kwa wakati fulani hivyo anaweza rudi pale hayo mambo yakirekebishwa.

Pia ikumbukwe kuna wanasiasa wapo kwa ajili ya kusaka pesa, vyeo na madaraka hawa nao nikuwavumilia tu na haina haja ya kumtukana pale anapohama sababu kuna siku anaweza rudi, na kuna wengine wapo kwa ajili ya kujenga nchi na sio chama hivyo wanatafuta upenyo wa kwenda kufanya hivyo hasa kupitia chama tawala. Pia ikumbukwe mtaji wa siasa ni watu na hawa wanasiasa pamoja na mapungufu yao wana wafuasi nyuma.
Uko sahihi mkuu. Lkn mtu wa namna hii ni malaya wa kisiasa. Kama aliamini chama A ndiyo bora kwake kuliko chama B, nini kinamrudisha tena chama B? Je, hakufanya tathmini vizuri kabla ya maamuzi? Na kama alishindwa kufanya tathmini vizuri kabla ya maamuzi , basi hafai.
 
Na inakatisha tamaa za mapambano yakisiasa yani sikuzote mnufaika ni CCM.
 
Kuna vitu vinasikitisha sana nchi hii.

Hakuna kitu kinakera kama ujinga huu wa kina Msigwa. Nimemdharau sana
... sio ujinga wa kina Msigwa, ila ni uendeshaji mbovu wa vyama kwa hila, majungu na kuyachukulia mambo kibinafsibinafsi, 'not business', ndiko kunakozaa makundi ndani ya vyama! (LAKINI UDHAIFU HUU HATA CCM WANAO = BILA BILA!)
 
Ishu ni ujinga wa watu kaka. Nadhani kwenye vyama hivi vilivyopo mtu akikosa nafasi ya uongozi tayari ni ishu! Huwezi amini hata Sugu angekosa kuchaguliwa angeanzisha zengwe. Huu ni ujinga sana watu wanaamini ni wao lazima wawe viongozi!

Rejea Dr Slaa, Lowasa na Sumaye. Hawa wote walihama vyama vyao waliponyimwa nafasi za uongozi, watu wanahisi walizaliwa kuongoza tu nq hawatakiwi kuongozwa. Narudia tena ni ujinga na ulafi
 
Back
Top Bottom