Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
miaka 30 mwenyekiti yuleyule ndio inarudisha nyuma hamasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa na vyeo. Ndani ya cdm huwezi pata hivyo. Mnyika na Lema nao watafuata. Haswa Mnyika na Msigwa ni kama walichelewa kuhamia ccm, ila kwa nyakati tofauti walishafika bei kwenye utawala wa dhalimu magu.
Kwa bahati mbaya hawaiongezea ccm mvuto kwa kuhamja, bali wanawaongezea idadi ya viongozi wa upinzani waliohamia ccm. Nina hakika atapewa vipindi kwenye media mbalimbali ili aichafue cdm, kisha baada ya hapo atakaa kwa kutulia kusubiri alichoahidiwa na ccm.
Hata Kenya wako busy na hayo, na wakati huohuo wanajielewa!Vijana wa Tz wako bize na yafuatayo
1. Mitandao
2. Miziki
3. Michezo (Mpira ndio sana)
4. Mapenzi
5. Upwiru (kutafuta pisi zenye misambwanda mikubwa)
Kila mtu ashinde mechi zake 🤣
Ideology gani ya kusema hapana Kwa kila kitu? Kuhama Kwa msigwa ni uthibitisho Kwamba njaa ndizo zinasumbua. Keki ikitengwa mezani mtahama Hadi makwenu.Upinzani ni Ideology mkuu sujui ni lini mtaelewa hili, Upinzani sio Political Party. Kama mnawaza hivyo mtachelewa sana kupara mabadiliko.
Ideology gani ya kusema hapana Kwa kila kitu? Kuhama Kwa msigwa ni uthibitisho Kwamba njaa ndizo zinasumbua. Keki ikitengwa mezani mtahama Hadi makwenu.Upinzani ni Ideology mkuu sujui ni lini mtaelewa hili, Upinzani sio Political Party. Kama mnawaza hivyo mtachelewa sana kupara mabadiliko.
Ideology gani ya kusema hapana Kwa kila kitu? Kuhama Kwa msigwa ni uthibitisho Kwamba njaa ndizo zinasumbua. Keki ikitengwa mezani mtahama Hadi makwenu.Upinzani ni Ideology mkuu sujui ni lini mtaelewa hili, Upinzani sio Political Party. Kama mnawaza hivyo mtachelewa sana kupara mabadiliko.
Ukimya wa Mnyika una walakini sana ktk uhai wake ndani ya chadema. Soon tutakutana na breaking news kumhusu.Haswa Mnyika na Msigwa ni kama walichelewa kuhamia ccm
Ila kweli. Yaani yeye hataki wenzake washike hicho kiti?? Why???miaka 30 mwenyekiti yuleyule ndio inarudisha nyuma hamasa
Mkuu, ukisema msambwanda huna haja ya kusema mkubwa..msambwanda tayari ni kota kubwaVijana wa Tz wako bize na yafuatayo
1. Mitandao
2. Miziki
3. Michezo (Mpira ndio sana)
4. Mapenzi
5. Upwiru (kutafuta pisi zenye misambwanda mikubwa)
Kila mtu ashinde mechi zake 🤣
Unaongelea nini? Ideology bila watu? Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, upinzani ni Political party..Upinzani ni Ideology mkuu sujui ni lini mtaelewa hili, Upinzani sio Political Party. Kama mnawaza hivyo mtachelewa sana kupara mabadiliko.
Uko sahihi mkuu. Lkn mtu wa namna hii ni malaya wa kisiasa. Kama aliamini chama A ndiyo bora kwake kuliko chama B, nini kinamrudisha tena chama B? Je, hakufanya tathmini vizuri kabla ya maamuzi? Na kama alishindwa kufanya tathmini vizuri kabla ya maamuzi , basi hafai.Kuhaahama chana ndio siasa zenyewe tatuzo la wanachadema wengi ni moja tu, mtu akihama chama chenu mnamtusi na kumuita msaliti ila akihamia kwenu mnasema demokrasia. Sababu za mtu kuhama chama zipo nyingi ikiwemo kutoridhizishwa na baadhi ya mambo kwenye chama kwa wakati fulani hivyo anaweza rudi pale hayo mambo yakirekebishwa.
Pia ikumbukwe kuna wanasiasa wapo kwa ajili ya kusaka pesa, vyeo na madaraka hawa nao nikuwavumilia tu na haina haja ya kumtukana pale anapohama sababu kuna siku anaweza rudi, na kuna wengine wapo kwa ajili ya kujenga nchi na sio chama hivyo wanatafuta upenyo wa kwenda kufanya hivyo hasa kupitia chama tawala. Pia ikumbukwe mtaji wa siasa ni watu na hawa wanasiasa pamoja na mapungufu yao wana wafuasi nyuma.
... sio ujinga wa kina Msigwa, ila ni uendeshaji mbovu wa vyama kwa hila, majungu na kuyachukulia mambo kibinafsibinafsi, 'not business', ndiko kunakozaa makundi ndani ya vyama! (LAKINI UDHAIFU HUU HATA CCM WANAO = BILA BILA!)Kuna vitu vinasikitisha sana nchi hii.
Hakuna kitu kinakera kama ujinga huu wa kina Msigwa. Nimemdharau sana
Ishu ni ujinga wa watu kaka. Nadhani kwenye vyama hivi vilivyopo mtu akikosa nafasi ya uongozi tayari ni ishu! Huwezi amini hata Sugu angekosa kuchaguliwa angeanzisha zengwe. Huu ni ujinga sana watu wanaamini ni wao lazima wawe viongozi!... sio ujinga wa kina Msigwa, ila ni uendeshaji mbovu wa vyama kwa hila, majungu na kuyachukulia mambo kibinafsibinafsi, 'not business', ndiko kunakozaa makundi ndani ya vyama! (LAKINI UDHAIFU HUU HATA CCM WANAO = BILA BILA!)
Sawa mkuu. Ni msambwandaMkuu, ukisema msambwanda huna haja ya kusema mkubwa..msambwanda tayari ni kota kubwa
Wakenya kwenye masuala ya kufuatilia miziki, mipira, msambwanda, mtandao bado wako chini mno watanzania wapo bize mno kwenye hizo sekta.Hata Kenya wako busy na hayo, na wakati huohuo wanajielewa!