Hama hama ya watangazaji wa radio za Bongo, maana yake ni nini!?

Efm ingeckika na mikoani ingekuwa vzr maana clouds mi nasikiliza michezo tu
 
Imeniuma sn dj sinyorita na mam baby kwenda clouds.IPP kuna shida gan pale? m namiin kwa mtaji IPP wako njema zaid ya hao Clouds iweje leo radio za IPP znapwaya kiasi hiki,Mengi jirekebishe walipe vizuri na uwape mikataba minono wafanyakazi wako muda cio mrefu naona anguko la IPP km ilivyotokea kwa sahara media miaka kadhaa iliyopita.

Tahadhar kwa wamiliki wengine wa radio mkiona clouds wameanza kumsifia mfanyakaz wa kituo chenu jueni jmaa wana negotiate naye.

Km wiki kadhaa nlimsikia kusaga anamuelezea sinyorita km mwanafunz wa dj pq.

Jman fanyeni ushindani katika industry ya radio na sio kubweteka kizembezembe tu.Narudia imeniuma sn kwangu EA radio ndo radio yang pendwa,niishie tu hapa.
 
Mtangazaji anavuta wasikilizaji-- wasikilizaji wanapaisha kipindi-- kipindi kilichopaa kinavuta advertisers-- advertisers means money to radio station!

But all in all, hiyo ni win-win situation! Mtangazaji anafaidika na radio inafaidika! Kwanza Mtangazaji anafaidika na dau la "kuvutwa" toka radio moja kwenda nyingine lakini kubwa zaidi, COMMISSION ya matangazo!!
 

Shafii Dauda kufanya kazi na Maulid Kitenge ni sawa na kumwambia Mbuzi aliyenona akapige stori barazani na Chui mwenye njaa.
 
Sijasikiliza redio siku nyiingi!!, toka enzi za kipindi cha "mazungumzo baada ya habari" na "mikingamo"
 
Kweli hapo kuna shida. Nimesikitika. EA ndio radio yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…