Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie kuondoka kwa mafuvu kunaninyima uondo sanaHunizidi mimi mkuu maana EA Radio ndio my favourite station hapa bongo, kama vipi wamrudishe mafuvu tu.
Hunizidi mimi mkuu maana EA Radio ndio my favourite station hapa bongo, kama vipi wamrudishe mafuvu tu.
Nimeona clip zake mitandaoni anasaini ila sijajua ni nani.kuna mtangazaji mmoja kijana efm wamemchukua tena kutika kwa jirani yake
Jibu lako limenikumbusha kuna mdau humu jina lake Kichwa ndio mtu.Dsm ndio Tanzania mkuu.
Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer.
Gadner katoka Efm kaenda Clouds.
PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm.
Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm.
Dj Senyorita na Mami wametoka East Africa radio wameenda Clouds.
Kuna tetesi Clouds sasa wanamtaka Kitenge kwa pesa yoyote anayotaka, Kitenge akichukuliwa na Clouds Shafii amesema ataondoka na Efm wanataka kumchukua kwa pesa ndefu.
Ni mwendo wa kutangaziana dau.
Hapa haieleweki ni jeuri ya pesa?
Stunt za kuongeza kusikilizwa?
Tasnia chovu ya utangazaji inakua?
Nani anaefaidika na hii game?
Au umjini mjini?
Efm wanakwambia huu mchezo hauitaji hasira!
Tusubirie kuona mwisho wa huu mchezo au labda ndio mwanzo wa sinema.
Mjini kuzuri sana!
Kweli hapo kuna shida. Nimesikitika. EA ndio radio yangu.Imeniuma sn dj sinyorita na mam baby kwenda clouds.IPP kuna shida gan pale? m namiin kwa mtaji IPP wako njema zaid ya hao Clouds iweje leo radio za IPP znapwaya kiasi hiki,Mengi jirekebishe walipe vizuri na uwape mikataba minono wafanyakazi wako muda cio mrefu naona anguko la IPP km ilivyotokea kwa sahara media miaka kadhaa iliyopita.
Tahadhar kwa wamiliki wengine wa radio mkiona clouds wameanza kumsifia mfanyakaz wa kituo chenu jueni jmaa wana negotiate naye.
Km wiki kadhaa nlimsikia kusaga anamuelezea sinyorita km mwanafunz wa dj pq.
Jman fanyeni ushindani katika industry ya radio na sio kubweteka kizembezembe tu.Narudia imeniuma sn kwangu EA radio ndo radio yang pendwa,niishie tu hapa.
Mi nasikiliza Radio Safina tuu, habari nyingine nazisoma hapa.