Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Wiki hii Rais wa marekani ametoa taarifa kuwa ikiwa Hamas haitawaachia mateka wa Israel jumamosi mchana watavunja makubaliano na kuanzia mashambulizi.
Hamas imetoa taarifa rasmi kuwa haitafuata sharti hilo kutoka kwa Rais Trump. Huu ni mtego wa kwanza kwa Rais Trump tusubiri tuone.
Hamas imetoa taarifa rasmi kuwa haitafuata sharti hilo kutoka kwa Rais Trump. Huu ni mtego wa kwanza kwa Rais Trump tusubiri tuone.