Hamas: Hatutafuata masharti ya Rais Trump kuwaachia mateka siku ya Jumamosi mchana

Pasuka ijulikane!

Au vaa bom mkuu ujilipue, bila shaka hawakujui!
 
Lakini mkuu si HAMAS wana Allah muweza wa yote kuliko hizo air defence?
 
Wamerekebisha wap. Unaweza kutuambia mpaka muda huu zimeingiq gar ngap kat ya zilizohtajika mkuu
Kuna kubishana na kuna Ukweli ni upi tangu jana AL jazeera wanatangaza nakuonesha molori yanavoingia GAZA adi zile nyumba za kuama!!! mobile house
Safi zikipita kuingia GAZA,, naww unajua Hamas ilitoa Sababu kwann inagomea kuachia Mateka Sasa Israel imeachia Malori kama ilivotakiwa ulitakaje HAMAS wafanye zaid ya kutoa Habari mpya kuwa J.mosi itaendelea kuachia Mateka!!!

Sasa wenzetu mnataka kudai HAMAS imeogopa kipigo!!! Haaaaa ivi nyinyi ni Wasaalifu sana kuwa Msingi wa kusitishwa vita ivi ni NETANYAHU kukubali Hamas walichotaka!!!!!

Nacho nikuachia Wapalestina uko Israel wanaposhikiliwa na molori ya maitaji kwa watu Wa GAZA!! Leo tena mnadai Hamas inaogopa kipigo awakuogopa Wkt wa Vita waje kuogopa Sasa!!

Angezuiya malori tuone kama kuna mateka angeachiwa!!! Hamas wanafaamika Wanamisimamo awayumbi.,,
 
Sasa hiki mbona ni kichekesho.
Kichekesho kwako lkn Waliojifunika ndio IDF inawaofia sana Jamaa Wanaficha adi mikono yao Adui katatizika anataka kujua awa Wanajesh kutoka Wapi

mbona Wananiaibisha mbele ya ulimwengu yani nilijua ni HAMAS tu sasa mbona kumbe Kuna Mijibaba mbavu za Hatari na Wanajificha uko kwenye Mapango Wamebaki wangapi awa !!!

ndio mana IDF hiii Vita kachapika sana lazima wajiulize awa sio Makomando wa Misri!! Hatari sana!! Sana vijana wao wengi Wamekufa

Hilikuwa Hatari IDF kutembea Tembea .mitaani apo GAZA IDF wakifa wao nao wanaenda kuuwa raia Wakawaida ndio mana Vifo pia vya Wapalestina vingi sana!!!...
 
Anadanganya nini?
Mimi nikiandika Jumbe majibu yanakuwa umo umo kumuusu mtu uyo anajiita Bams!!
mtu yoyote anaweza Fatilia Jumbe zake na ata Akianzisha Uzi mala nyingi kajielekeza kufanya propaganda za kidini!!! Yani ni muuongo muongo ivi. Pengine ajiilekebishe sasa!!!!.
 
Bro malor yalikuwa yanapita tangu mwanzo shida ni idadi. Vitu vyote walivyosema hamas hakuna hata kimoja kilichofanyiwa kaz kwa taarifa yako vimebaki vile vile.
 
Kanisa halihusiki hapo mbona unajitoa ufahamu kijana
 
Kanisa halihusiki hapo mbona unajitoa ufahamu kijana
Nenda Mang'ola barazani ndiyo utaona maajabu ya waislamu na waarabu kwa ujumla. Kule ni kijijini ni mkoa wa Arusha, wilaya ya Karatu. Ukifika pale
Kuna kanisa kubwa na pembeni kuna hospitali ya kanisa na ukitembea mita chache kuna msikiti mkubwa, kisima cha kujitawazia na madrasa. Ndiyo ujue waarabu hawana akili
 
Mimi nimemuelewa tena wewe akili ndogo ndio unahaingaika kuprocess
 
Bro malor yalikuwa yanapita tangu mwanzo shida ni idadi. Vitu vyote walivyosema hamas hakuna hata kimoja kilichofanyiwa kaz kwa taarifa yako vimebaki vile vile.
Leta sources
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…