Hamas imesema imeidhinisha orodha ya mateka 34 wa Israel kwa makubaliano Israel waondoe majeshi yao Gaza.

Hamas imesema imeidhinisha orodha ya mateka 34 wa Israel kwa makubaliano Israel waondoe majeshi yao Gaza.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told Reuters on Sunday.
The official, who spoke on condition of anonymity because of the sensitivity of the matter, also reiterated that any deal is contingent upon reaching an agreement on an Israeli withdrawal from Gaza and a permanent ceasefire.
===============
CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Kundi la wanamgambo wa Palestina Hamas limeidhinisha orodha ya mateka 34 iliyowasilishwa na Israel ili kubadilishana katika makubaliano ya uwezekano wa kusitisha mapigano, afisa wa kundi hilo aliliambia Reuters Jumapili.
Afisa huyo, ambaye hakutaka jina lake litajwe kwa sababu ya unyeti wa suala hilo, pia alisisitiza kwamba mpango wowote unategemea kufikia makubaliano juu ya kujiondoa kwa Israeli kutoka Gaza na usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told Reut… Source: Reuters https://search.app/?link=https://ww...sharing&utm_source=igadl,igatpdl,sh/x/gs/m2/5
 
Nina mashaka sana na haya makubaliano kwa upande wa Israel kwa yanayoendelea Syria na Lebanon.

Hawatositisha mapigano ila tu idadi ya vifo itapungua, lakini wataendelea kuua watu kwa kichaka cha kupambana na wapiganaji wa Hamas.

Lakini Hamas nimewavulia kofia, hao mateka waliwaficha wapi hadi intelijensia kombaini ya US na Israel imeshindwa kung’amua walipo?
 
Baada ya baba yao Iran wanae mtegemea kuufyata mapema kabisa, Syria nako kuna waka moto,ukanda wa Gaza nao umegeuzwa magofu na walichotegemea kupata hawajakipata,Hama's hawana jinsi zaidi ya kufanya hivyo,lakini wanapongezwa wamejitahidi sana kujifaragua kushinda Hezbollah.
 
Hawatositisha mapigano ila tu idadi ya vifo itapungua, lakini wataendelea kuua watu kwa kichaka cha kupambana na wapiganaji wa Hamas.
Kitakacho fanya Israel washindwe kusitisha mapigano ni Hama's wenyewe kwa kuwa mateka waliowateka ni zaidi ya 200 walioidhinishwa kuachiwa ni 34 kwa vyovyote vile Israel haitanyamaza mpaka wajue hatima ya wale wengine waliosalia.
 
Ndio maana nimesema Israel hawaaminiki, watapewa hao 34 kwanza kisha waangaliwe mwenendo wao maana Hamas wanataka permanent ceasefire.

Mwenendo wao ndio utakaoguarantee wapewe hao wengine au lah.
 
Kwamba IDF iondoke Gaza kwa zawadi ya mateka 34? Kwamba magaidi waachwe wakijimwambafai Gaza kwa kuachia mateka 34? Kwamba usalama wa Israel uwekwe rehani kwa hongo ya mateka 34?

Kwa hakika kama Mungu wa Yakobo aishivyo hilo ni jambo la mwisho kutokea Mbinguni na duniani!
 
wa Hamas.

Lakini Hamas nimewavulia kofia, hao mateka waliwaficha wapi hadi intelijensia kombaini ya US na Israel imeshindwa kung’amua walipo?
Ticket ya Israel kuendelea kupiga anavyotaka hapo Gaza ilikuwa chini ya hao mateka yaani hao ndiyo ilikuwa sababu yake kuu hata angemuuliza nani angesema tu natafuta watu wangu waliotekwa na siyo kwamba walifichwa wasijulikane walipo.

Hamas wamecheza vizuri kuwakabidhi watu wao japo Mzayuni anaweza akazusha lingine alimradi aendelee kuwepo huko.
 
Kwani wakati anapiga naye hakuwa akiingia gharama? Unasema kana kwamba kuna namna alikuwa ananufaika kuuwa watu zaidi ya hasara kubwa ikiwemo kupoteza wanajeshi wake vitani.

Nimefuatilia Hamas hawaingii katika haya makubaliano kijinga, bado wana mateka 96 ila watawaachia hao 34 kwanza.
 
Huu uzi ni mzito sana kwako ungejikita tu kwenye jukwaa lako la mipasho.
Ni kweli kabisa,kuna issues zingine zipo zaidi ya uwezo wa mtu mwingine kufikiri na kuchambua.Huyu mpuuzi anatakiwa aelewa kuwa majadiliano yanayofinyika kule Cairo yanahusisha vichwa vya watu wenye akili tena wa mataifa makubwa ambao wanaona na kutafakari tatizo.Unapokimbilia kuwalaumu Hamas vilevile utambue kule Tel Aviv yapo maandamano ya mara kwa mara tena makubwa ya kutaka mateka waachiwe na Hamas.Mnadhani mnavyochambua mipra ya Tanzania ni sawa kuyaendea mambo makubwa ambayo siyo level zenu.
 
Nina mashaka sana na haya makubaliano kwa upande wa Israel kwa yanayoendelea Syria na Lebanon.

Hawatositisha mapigano ila tu idadi ya vifo itapungua, lakini wataendelea kuua watu kwa kichaka cha kupambana na wapiganaji wa Hamas.

Lakini Hamas nimewavulia kofia, hao mateka waliwaficha wapi hadi intelijensia kombaini ya US na Israel imeshindwa kung’amua walipo?
Hakuna Shaka yoyote Israel haitakubali upuuzi kama huo kusitisha mashambulizi yao dhidi ya magaidi kisa tu wameachia mateka 34 na 66 wamebaki nao hizo ni ndoto. Pili u mesę a kuwa Israel itaendelea kuua watu huko Gaza kwa kichaka cha kupambana na magaidi wa Hamas hiyo ni kweli magaidi hao lazima wapigwe tu maana Oct 07,2023 waliua watu wengi wasio na hatia acha na wao wavune walichopanda. Nakushangaa sana Una po sema umewavulia kofia magaidi wa Hamas kwa kuwaficha mateka!! Kwa taarifa yako wala hawajawaficha kiasi cha Israel isijue wako wapi wanawaacha tu kwa usalama wa mateka isingekuwa hilo siku nyingi wangekuwa wamekombolewa kwa hiyo kofia yako imeivua bure kabisa!! Kumbuka Israel imeweza kuwaua Ismail Hanniyeh,Hassan Nasrallah,Yahya Sinwar na chain command yote ya Hezbollah waliokuwa wanajificha kwenye mahandaki kama Panya lakini haikuwasaidia waliuwawa bila huruma.
 
Attachments

  • IMG_1277.jpeg
    IMG_1277.jpeg
    132.5 KB · Views: 3
  • IMG_1142.jpeg
    IMG_1142.jpeg
    71.3 KB · Views: 4
  • IMG_0749.jpeg
    IMG_0749.jpeg
    66.5 KB · Views: 5
Hata wewe hapo issue hii huijui bali unashabikia usichokijua hao unaowasema wewe wana akili hawawezi kupindua kilichowekwa kwa ajili ya Usalama wa Israel hata wakiwaachia hao mateka 34 hakuwezi kuwapa fursa Hamas kuitawala Gaza tena na wala kujifanya Israel Io doe majeshi yake Gaza hiyo ni ndoto majeshi ya Israel yataendelea kuwa huko Gaza. Kwa taarifa yako tu baada ya Magaidi wa Hamas kufanya ugaidi wa Oct 07,2023 walizika rasmi utawala wao huko Gaza mengine endeleeni kujifurahisha tu. Hata uwapambe namna gani magaidi wa Hamas hawawezi kuepuka lawana za kijinga na kipumbavu walizofanya Oct 07,2023 ambazo zimesababisha maafa makubwa kwa raia wao na wao wenyewe huko Gaza na Mashariki ya kati kwa Ujumla. Umezungumzia Amanda ano yanayofanyika huko Israel kuhusu Mateka hayo kweli yanafanyika lakini baki ukijua kuwa hawawezi kubadiri hali ya uwanja wa vita huko Gaza na kipigo kwa magaidi wa Hamas kitaendelea kama ilivyopangwa!!
 
Uharo mtupu.
 
Wewe shoga jeusi la kayahudi huwezi kufahamu lolote jitibu kwanza UTI sugu wewe na familia yako..
Ni tatizo kubwa sana unaposhindwa kujibu hoja na kurukia USHOGA utafikiri wote wana interesting na huo. Nimekuwa nikishangaa kila unapopishana mawazo na mtu anakuita shoga huo si uungwana ukweli lazima usemwe tu!!
 
Back
Top Bottom