Hamas imesema imeidhinisha orodha ya mateka 34 wa Israel kwa makubaliano Israel waondoe majeshi yao Gaza.

Hamas imesema imeidhinisha orodha ya mateka 34 wa Israel kwa makubaliano Israel waondoe majeshi yao Gaza.

Kwamba IDF iondoke Gaza kwa zawadi ya mateka 34? Kwamba magaidi waachwe wakijimwambafai Gaza kwa kuachia mateka 34? Kwamba usalama wa Israel uwekwe rehani kwa hongo ya mateka 34?

Kwa hakika kama Mungu wa Yakobo aishivyo hilo ni jambo la mwisho kutokea Mbinguni na duniani!
Wanaosema hivyo hawajui IDF wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari wanaoijua vizuri ni Hassan Nasrallah, Ismail Hanniyeh,Yahya Sinwar na Magaidi wengine wengi tu. Wakitaka wakawaulize hao huko Jehanam!!
 
Nina mashaka sana na haya makubaliano kwa upande wa Israel kwa yanayoendelea Syria na Lebanon.

Hawatositisha mapigano ila tu idadi ya vifo itapungua, lakini wataendelea kuua watu kwa kichaka cha kupambana na wapiganaji wa Hamas.

Lakini Hamas nimewavulia kofia, hao mateka waliwaficha wapi hadi intelijensia kombaini ya US na Israel imeshindwa kung’amua walipo?
Hao ni wapumbavu wameipa Israel nafasi ya kuwaangimjza wapalestina,wameng'aning'ania watu 200 na kuponza video na majeruhi ma elf
 
Nina mashaka sana na haya makubaliano kwa upande wa Israel kwa yanayoendelea Syria na Lebanon.

Hawatositisha mapigano ila tu idadi ya vifo itapungua, lakini wataendelea kuua watu kwa kichaka cha kupambana na wapiganaji wa Hamas.

Lakini Hamas nimewavulia kofia, hao mateka waliwaficha wapi hadi intelijensia kombaini ya US na Israel imeshindwa kung’amua walipo?
Hutaaamini hao hawakufichwa Gaza, watakuwa walitichwa katika makundi rafiki
 
Wanaukumbi.

CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told Reuters on Sunday.
The official, who spoke on condition of anonymity because of the sensitivity of the matter, also reiterated that any deal is contingent upon reaching an agreement on an Israeli withdrawal from Gaza and a permanent ceasefire.
===============
CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Kundi la wanamgambo wa Palestina Hamas limeidhinisha orodha ya mateka 34 iliyowasilishwa na Israel ili kubadilishana katika makubaliano ya uwezekano wa kusitisha mapigano, afisa wa kundi hilo aliliambia Reuters Jumapili.
Afisa huyo, ambaye hakutaka jina lake litajwe kwa sababu ya unyeti wa suala hilo, pia alisisitiza kwamba mpango wowote unategemea kufikia makubaliano juu ya kujiondoa kwa Israeli kutoka Gaza na usitishaji wa kudumu wa mapigano.

Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told Reut… Source: Reuters https://search.app/?link=https://www.reuters.com/world/middle-east/hamas-says-it-has-approved-israeli-list-34-hostages-possible-deal-2025-01-05/&utm_campaign=57165-or-igacx-web-shrbtn-iga-sharing&utm_source=igadl,igatpdl,sh/x/gs/m2/5

View: https://x.com/TalkTV/status/1876253283653992744
 
Wanaosema hivyo hawajui IDF wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari wanaoijua vizuri ni Hassan Nasrallah, Ismail Hanniyeh,Yahya Sinwar na Magaidi wengine wengi tu. Wakitaka wakawaulize hao huko Jehanam!!
Kuna mwengine anaijua iyo IDF zaid ya Hamas,, aya tuambie ww HAMAS kauwa IDF kibao na bado anaendelea kuuwa kias cha Israel kuchagua mazungumzo na HAMAS vipi unawaita Magaid afu tena umakao nao mezani!!! Yeye si silis3
 
Wanaosema hivyo hawajui IDF wanaisikia tu kwenye vyombo vya habari wanaoijua vizuri ni Hassan Nasrallah, Ismail Hanniyeh,Yahya Sinwar na Magaidi wengine wengi tu. Wakitaka wakawaulize hao huko Jehanam!!
Kuna mwengine anaijua iyo IDF zaid ya Hamas,, aya tuambie ww Israel kuchagua mazungumzo na HAMAS vipi unawaita Magaid afu tena umakao nao mezani!!! Yeye si mwamba yeye ndio Entebe yeye vita Siku6 wapi sasa miezi 15 na anazika IDF kibao!!!!!!
 
Nina mashaka sana na haya makubaliano kwa upande wa Israel kwa yanayoendelea Syria na Lebanon.

Hawatositisha mapigano ila tu idadi ya vifo itapungua, lakini wataendelea kuua watu kwa kichaka cha kupambana na wapiganaji wa Hamas.

Lakini Hamas nimewavulia kofia, hao mateka waliwaficha wapi hadi intelijensia kombaini ya US na Israel imeshindwa kung’amua walipo?
katiika suala la kusitisha mapigano nakuunga mkono. Lakini sidhan kama waisrael walishindwa kujua wakipo mateka. Nadhani waliwaacha ili hamas waendelee kuwashikilia ili iwe sababu ya wao kuendeleza opareshen yao.
 
Back
Top Bottom