Hamas inasema hakuna mazungumzo zaidi hadi Israel isitishe mashambulizi yake dhidi ya Gaza

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina.

Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya kile ilichokiita "mgogoro".

A Hamas official tells Al Jazeera negotiations on prisoner exchanges are now over and will not resume until Israel halts it attack and hands over all Palestinian prisoners.

Israel ordered its Mossad negotiating team in Doha to return to Israel because of what it called an “impasse”.

Source: Al Jazeera
 
🛑 Hamas senior commander, Saleh al-Arouri:

“There are currently no negotiations regarding a truce. Our official position is that there is no exchange of prisoners before the cessation of hostilities.

The POW who remain in Gaza, are soldiers & male settlers who served in the IOF.

The IOF claims that there are still children and women in Gaza, but we said that we handed over all the women and children already.”
 
Sema habari za JF sometimes zina upotoshaji mwingi sana. Mjitahidi kuwa mnaleta habari kama zilivyo bila kuziwekea hisia zenu ili JF iendelee kuaminika na kuheshimiana.
Habari imewekwa mpaka chanzo unaweze kwenda kwenye hicho chanzo au unataka utafuniwe kila kitu au akili yako haitaki kuamini hii habari?
 
Hamas tunakupa maiti za mateka unatupa wafungwa wa kipalestina.
Ni kichaa pekee ake anaweza kukubali hayo maridhiano
 
Hao watu waliokua wanaomba mafuta ili watembelee makundi mengine wakusanye mateka inshort hamas hawana cha kuwapa israel ukiaacha askari walionao ambao wanajua kabisa wakiwatoa hao wanabaki empty kabisa wacha tuendelee kuhesabu vifo tu hakuna namna
 
Wanaukumbi.

Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina.

Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya kile ilichokiita "mgogoro".

A Hamas official tells Al Jazeera negotiations on prisoner exchanges are now over and will not resume until Israel halts it attack and hands over all Palestinian prisoners.

Israel ordered its Mossad negotiating team in Doha to return to Israel because of what it called an “impasse”.

Source: Al Jazeera
Na sasa kumbe ndio vita halisi vya mitaani ndio vimeanza vitakavyommaliza Israel.Kumbe walikuwa wamejichimbia muda wote huo wakisubiri Israel imalize mashambulizi ya anga na wajaribu kuingia mitaa ya Gaza kwa tamaa za kuwamaliza Hamas
 
Hamas tunakupa maiti za mateka unatupa wafungwa wa kipalestina.
Ni kichaa pekee ake anaweza kukubali hayo maridhiano
Ushabiki mandazi hujui kinachoendelea ufahamu kuwa hata Israel wana maiti nyingi za Wapelestina, sasa hivi Tel Aviv kuna Maandamano baada ya kisikia hoyo habari Netanyahu kaitisha mkutano na waandishi wa habari analia lia tu.
 
Na sasa kumbe ndio vita halisi vya mitaani ndio vimeanza vitakavyommaliza Israel.Kumbe walikuwa wamejichimbia muda wote huo wakisubiri Israel imalize mashambulizi ya anga na wajaribu kuingia mitaa ya Gaza kwa tamaa za kuwamaliza Hamas
Hamas wamewambia mateka waliobaki nao ni wanajeshi na maafisa wakuu wa Jeshi, kama wanaweza waingie Gaza kuchukuwa.
 
Ushabiki mandazi hujui kinachoendelea ufahamu kuwa hata Israel wana maiti nyingi za Wapelestina, sasa hivi Tel Aviv kuna Maandamano baada ya kisikia hoyo habari Netanyahu kaitisha mkutano na waandishi wa habari analia lia tu.
Hakuna unalojua press ya jana ya msemaji wa serikali israel ina maiti nne za wafungwa wa kipalestina na makubaliano ya juzi ilikua maiti kwa mtu hai umekalia porojo tu kwa kusoma blog za kiarabu
 
Hahaha nilikuwa najua naongea na mtu makini ambaye anafuatilia habari kumbe shabiki mandazi.

Saa moja limepita NETANYAHU aliafanya pres…
BREAKING: PROTESTS IN ISRAEL DEMANDING NETANYAHU NEGOTIATE THE RELEASE OF ISRAELI HOSTAGES

Someone needs to tell them the Israelis don’t care about their own hostages.
 
Unaongelea hii press alokua anafanya briefing ya kinachoendelea na kuweka wazi malengo yao matatu ndani gaza?Au ipo tofauti na hii me siijui uniupdate nsikae nyuma nyuma sana
 
Hahaha nilikuwa najua naongea na mtu makini ambaye anafuatilia habari kumbe shabiki mandazi.

Saa moja limepita NETANYAHU aliafanya pres…
BREAKING: PROTESTS IN ISRAEL DEMANDING NETANYAHU NEGOTIATE THE RELEASE OF ISRAELI HOSTAGES

Someone needs to tell them the Israelis don’t care about their own hostages.
Nachoona kwako unafatilia hizi habari kweli lakini unakwama kwenye analysis ya unachoskia kutokana na hisia na mapenzi yako
 
Wanaukumbi.

Afisa wa Hamas aambia Al Jazeera mazungumzo juu ya kubadilishana wafungwa sasa yamekwisha na hayatarejelea hadi Israel itakaposimamisha mashambulizi na kuwakabidhi wafungwa wote wa Kipalestina.

Israel iliamuru timu yake ya mazungumzo ya Mossad huko Doha kurejea Israel kwa sababu ya kile ilichokiita "mgogoro".

A Hamas official tells Al Jazeera negotiations on prisoner exchanges are now over and will not resume until Israel halts it attack and hands over all Palestinian prisoners.

Israel ordered its Mossad negotiating team in Doha to return to Israel because of what it called an “impasse”.

Source: Al Jazeera
wao si walianza , ss wanataka Israel asitishe ili iweje ? hawa hamas hawawajali wananchi wake na miislam mishetan haiwajal wapalestina inajali kuisikia wayaudi 100 wsmekufa ila hawajali kusikia majibu yameua wapalestina 1000 , hii dini imekaa kishetan kbs
 
Umri wako ni mdogo kujadili huu mgogoro wewe unaleta ushabiki ndiyo maaana unasema Hamas ndiyo alianza.
 
Back
Top Bottom