Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Hilo limetimia.

Kichapo wanachochezeaa mazayuni, ndani ya Rafah na viunga vyake, ingekuwa haijarekodiwa hakuna ambae angeamini.

Jionee mazayuni wanavyoumizwa na kujuta kuivamia Rafah:

View attachment 2991062
Video ya 2023 na hao waliokimbia kwenye Handaki ni marehemu wote walishadedishwa na IDF..

So hii video unakaa nayo tu ukijisikia baada ya miezi miwili unailea tena eh
 
Video ya 2023 na hao waliokimbia kwenye Handaki ni marehemu wote walishadedishwa na IDF..

So hii video unakaa nayo tu ukijisikia baada ya miezi miwili unailea tena eh
Sasa hivi Netanyahu yupo kundi moja na kina
Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu,
Jean-Jacques Mangenda Kabongo,
Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,
 
Wanakumbi.

🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH

Taarifa Rasmi ya Hamas:

"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi wapatao milioni moja na nusu na watu waliokimbia makazi yao, na onyo lake kwa watu kuondoka maeneo ya mashariki mwa mji huo. mashambulizi ya mara kwa mara ya anga na mizinga, ambayo yaliacha mauaji ya raia wasio na hatia, jinai ambayo inathibitisha sisitizo la serikali ya gaidi Netanyahu ya kuendeleza vita vya maangamizi.

Dhidi ya watu wetu.

Operesheni yoyote ya kijeshi huko Rafah, haitakuwa picnic kwa jeshi la uvamizi la fashisti, na upinzani wetu shupavu, unaoongozwa na Brigedi za Qassam, umejitayarisha kikamilifu kuwalinda watu wetu, kumshinda adui huyu, kuharibu mipango yake, na kuzuia malengo yake.

Tunatoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua za haraka kukomesha uhalifu huo unaotishia maisha ya mamia kwa maelfu ya raia wasio na ulinzi wakiwemo watoto, wanawake na wazee.

Pia tunatoa wito kwa mashirika na mashirika ya kibinadamu, yanayoongozwa na UNRWA, kubaki katika maeneo yao katika mji wa Rafah na kutouacha, au kutii matakwa ya uvamizi wa kifashisti."

Chanzo: Hamas Rasmi tg


View: https://x.com/marionawfal/status/1787454652931264898?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

We mbn mpumbavu hivyo?
 
Wana waomba unrwa na raia wasiondoke ili wawatumie kama ngao. Kaskazin tayar ishakua eneo la israel bado rafa ili gaza yote iwe israel.
Jeshi la israel kazi yao kutoa taarifa tu. Sasa nyie bakini rafa muwasikilize Hamas. Netanyahu kama putin tu akitaka lake hasikii mtu.
Hivi upo duniani kwe;li?

Lini palestina haijawa chini ya israel toka mwaka 1948?

Kama huelewi, kwa mara ya kwanza ni kuanzia 7 Oktoba ndiyo sasa una ubavu wa kuyasema hayo, Ghaza au Palestina ypte haijawahi kujitawala yenyewe.

Hivi unafikiri Hamas wanakigombania nini huko?
 
Back
Top Bottom