Hamas: Israel watajuta kuvamia Rafah

Hilo limetimia.

Kichapo wanachochezeaa mazayuni, ndani ya Rafah na viunga vyake, ingekuwa haijarekodiwa hakuna ambae angeamini.

Jionee mazayuni wanavyoumizwa na kujuta kuivamia Rafah:

View attachment 2991062
Video ya 2023 na hao waliokimbia kwenye Handaki ni marehemu wote walishadedishwa na IDF..

So hii video unakaa nayo tu ukijisikia baada ya miezi miwili unailea tena eh
 
Video ya 2023 na hao waliokimbia kwenye Handaki ni marehemu wote walishadedishwa na IDF..

So hii video unakaa nayo tu ukijisikia baada ya miezi miwili unailea tena eh
Sasa hivi Netanyahu yupo kundi moja na kina
Charles Taylor, Jean-Pierre Bemba, Laurent Gbagbo, Fidèle Babala Wandu,
Jean-Jacques Mangenda Kabongo,
Joseph Kony, Bosco Ntaganda, Germain Katanga,
 
We mbn mpumbavu hivyo?
 
Hivi upo duniani kwe;li?

Lini palestina haijawa chini ya israel toka mwaka 1948?

Kama huelewi, kwa mara ya kwanza ni kuanzia 7 Oktoba ndiyo sasa una ubavu wa kuyasema hayo, Ghaza au Palestina ypte haijawahi kujitawala yenyewe.

Hivi unafikiri Hamas wanakigombania nini huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…