Hamas kuitisha Maandamano Ijumaa katika nchi za kiarabu kulaani mashambulizi ya Israel

Hamasi 😂 kama watafanya mandamano basi kwanini Israel asingize vifaru vyake kuwakanyaga akawamaliza.

Mwambieni Israel na Jeshi la US waingize boots zao Gaza kama wanaume.
 
Marekani tayari kesha ingia
 

Attachments

  • 3209965833856459945.jpg.png
    410.5 KB · Views: 4
Mwanakulitafuta,mwanakulipata!Maandamano ya nini tena!Si walianza wao,!Siku ya Sabato.
... tena Sabato ya Bwana Mungu wa Majeshi - Amri ya Milele! Wamewavizia wana wa Yakobo wamelala hawana hili wala lile wakawapiga ambush style ya kale kabisa ya mababu zao! Waache unafiki wao.
 
Waisraeli hawawezi kuwapiga raia, wa mataifa mengi la sivyo watake vita vya tatu vya Dunia... Maana waarabu wanamtamani Israeli kwa muda mrefu, kitendo cha israeli kushambulia waandamanaji tena nchi nyingine itakuwa ni ugomvi mkubwa
Warabu washamshindwa Israel
 
Sijajua hadi sasa wameuwawa wafilisti wangapi. Wayahudi waliouawa ni kama 700 na siku zote lazima idadi ya wafilisti wanaokufa izidi idadi ya mayahudi kama mara 5 hivi. 700×5=3500.
 
Akuanzae mmalize

Benjamin Netanyau kazia hapo hapo Baba teteteza hamas yote ifutike kwenye uso wa Dunia .

Tuko nyuma yako😁
 
Hahahaaa, wanalaani mashambilizi kwa maandamano! Nasubiri nione waarbu walivyo wapumbavu !
Umeenda Nyumbani kwa mtu, umeua, ulipua majengo,umeteka watu ,leo uliyemfanyia hujuma anakupiga ,unaitisha maandamano kwa wasiokutuma ,wajiunge mkono. Watakuwa wa hovyo sanana si tu akili hata maarifa japo ya kidogo tu kama nyumbu hawana.
 
... tena Sabato ya Bwana Mungu wa Majeshi - Amri ya Milele! Wamewavizia wana wa Yakobo wamelala hawana hili wala lile wakawapiga ambush style ya kale kabisa ya mababu zao! Waache unafiki wao.
Wamelianzisha dubu lililolala na njaa!
 
Vita vya urusi na ukrine vimehamia huko!
Israel ilikuwa inatoa msaada kimya kimya Uikrane WA siraha,zilipoisha Hamas wakabonyezwa🤣🤣🤣

Pale Nchini Belarus wapiganaji 20,000 WA Wagner wamepotea kwenye mazingira ya utata,UK imelalama.

China imewapatanisha Iran na Saudia tujiulize Kwa Nini.

Israel hatoboi hii vita,tujiulize Kwa Nini anaomba msaada US.
 
Maandamano yatasaidia nini ikiwa mpaka sasa unyama wao umeonesha kuwa wao ni magaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…