Tetesi: Hamas kukutana kuchagua mrithi wa Kiongozi wao Mkuu aliyeuawa, wanaotajwa Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

Yes, ni kuua tu kila adui yake alipo, kwasababu asipowamaliza wataendeleza michezo yao ya kitoto ya kuvizia, sasa dawa ni kuwapekua na kuwapukutisha popote walipo ilimradi ndege na mabomu ya kufanya hivyo yanatengenezwa kila siku.
Kama ataweza kufuta kabisa madai ya wapalestina kudai nchi yao na ku annex eneo liliboki la Wapalestina kuwa sehemu ya Israel atafanikiwa, vinginevyo vurugu hazitakaa ziishe hilo eneo.
 
Atakaeteuliwa asisahau kuvaa nikabu na viatu mchuchumio huku akitembea kwa madaha kila aendapo out,hili linaweza kuwa ni kosa kubwa lililosababisha wakutane leo

Mzayuni mara hii anamaanisha!
 
Kifo kinaogopwa na watenda Zambi waliokufuru sio waislamu ndugu poleni huu moto haupoi viongozi wapo wengi wanatafuta thawabu na haki yao sio pesa
Kwa hiyo waislam hawatendi dhambi?!
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas

Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa

Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi atakayechukua hatamu za uongozi baada ya mkubwa wao kuuawa na Israel jana

Kwamba kikao hicho kizito sana tena cha Siri kubwa kitafanyika mara tu baada ya maziko ya Ismail haniyeh yatayofanyika nchini quatar

Majina ya wajumbe wa Baraza hilo la magaidi bado ni Siri kubwa sana

Magaidi wanaotarajia kushika hatamu za uongozi wa kikundi hicho hatari ni
Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini:

Who are the potential next leaders of Hamas after Haniyeh’s death?

BEIRUT — Palestinian terrorist group Hamas has a history of swift and smooth replacement of fallen leaders killed in Israeli airstrikes.

Ismail Haniyeh’s assassination in Tehran early Wednesday, widely attributed to Israel, comes at a time when Hamas is under extreme pressure since the war in Gaza started nearly 10 months ago, following the group’s massive Ocrtober 7 attack on southern Israel.

“We are not discussing this matter now,” a Hamas official told The Associated Press on condition of anonymity when asked about the process to replace Haniyeh.

Haniyeh headed the group’s political bureau until his death. His deputy was Saleh Arouri, who was himself killed in an Israeli strike in Beirut in January and would have been the automatic replacement. Arouri’s post has remained empty since his death.

The group’s Shura council, the main consultative body, is now expected to meet soon, likely after Haniyeh’s funeral in Qatar, to name a new successor. The council’s membership is kept secret but represents regional chapters of the group in Gaza, the West Bank and the diaspora as well as those imprisoned.

One of Haniyeh’s deputies was Zaher Jabarin, who has been described as the group’s chief executive officer because of the important role he plays in managing the group’s finances, and with that, his good relations with Iran.

Hani al-Masri, an expert on Palestinian organizations, said the choice is now likely between Khaled Mashaal, a veteran Hamas official and former leader, and Khalil al-Hayya, a powerful figure within Hamas who was close to Haniyeh.

“It will not be easy,” said al-Masri, who also heads the Palestinian Center for Policy and Research and Strategic Studies.
hata Mbowe aliitwa GAIDI. Kama sio Busara za mama hivi sasa tungalimwita marehemu
 
Na hao magaidi wa kiislam wanauwa watu kwa jina la Allah nao wakitubu wanasamehewa na nani?!
hata mandela aliitwa gaidi. Mkiristo kama wewe kumwita Gaidi Muislam sio tatizo ni haki yake. kwa sababu ndani ya moyo wake kuna chuki ndani yake
 
Hujajibu swali?? Hao waislam wanaoua watu kwa jina la allah hawana dhambi kwa sababu ni waislam sio? Au Allah anawasemehe kwa sababu wanaua makafir kwa jina lake
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas

Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa

Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi atakayechukua hatamu za uongozi baada ya mkubwa wao kuuawa na Israel jana

Kwamba kikao hicho kizito sana tena cha Siri kubwa kitafanyika mara tu baada ya maziko ya Ismail haniyeh yatayofanyika nchini quatar

Majina ya wajumbe wa Baraza hilo la magaidi bado ni Siri kubwa sana

Magaidi wanaotarajia kushika hatamu za uongozi wa kikundi hicho hatari ni
Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini:

Who are the potential next leaders of Hamas after Haniyeh’s death?

BEIRUT — Palestinian terrorist group Hamas has a history of swift and smooth replacement of fallen leaders killed in Israeli airstrikes.

Ismail Haniyeh’s assassination in Tehran early Wednesday, widely attributed to Israel, comes at a time when Hamas is under extreme pressure since the war in Gaza started nearly 10 months ago, following the group’s massive Ocrtober 7 attack on southern Israel.

“We are not discussing this matter now,” a Hamas official told The Associated Press on condition of anonymity when asked about the process to replace Haniyeh.

Haniyeh headed the group’s political bureau until his death. His deputy was Saleh Arouri, who was himself killed in an Israeli strike in Beirut in January and would have been the automatic replacement. Arouri’s post has remained empty since his death.

The group’s Shura council, the main consultative body, is now expected to meet soon, likely after Haniyeh’s funeral in Qatar, to name a new successor. The council’s membership is kept secret but represents regional chapters of the group in Gaza, the West Bank and the diaspora as well as those imprisoned.

One of Haniyeh’s deputies was Zaher Jabarin, who has been described as the group’s chief executive officer because of the important role he plays in managing the group’s finances, and with that, his good relations with Iran.

Hani al-Masri, an expert on Palestinian organizations, said the choice is now likely between Khaled Mashaal, a veteran Hamas official and former leader, and Khalil al-Hayya, a powerful figure within Hamas who was close to Haniyeh.

“It will not be easy,” said al-Masri, who also heads the Palestinian Center for Policy and Research and Strategic Studies.
Na wao wakileta ushenzi tunawatungua
 
Hujajibu swali?? Hao waislam wanaoua watu kwa jina la allah hawana dhambi kwa sababu ni waislam sio? Au Allah anawasemehe kwa sababu wanaua makafir kwa jina lake
jibu lipo hapo juu. wewe kama mkiristo uliobebeshwa ajenda ndani ya moyo wako hufahamu kitu
 
End game ya Netanyahu kwa Palestina na Hamas ni ipi? Ni vita na kuua tu??
Kusafisha Gaza, UAE, Saudi Arabia, Israel na Nchi zingine kuioccupy kijeshi huku wakiibadili kuwa Singapore au Dubai
 
Back
Top Bottom