Hamas kumuachia mateka Mmarekani, Israel haikujulishwa juu ya mazungumzo

Hamas kumuachia mateka Mmarekani, Israel haikujulishwa juu ya mazungumzo

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Hamas wamekubaliana na marekani kumuachia raia pacha wa israel na marekani hapo kesho,baada ya mazungumzo ya Hamas na marekani

Marekani hivi karibuni imekua ikiingia makubaliano na makundi hasimu ya mashariki ya Kati bila kuihusisha israel,yakiwemo makubaliano na houthi ambayo yalipiga pande ulinzi kwa meli za israel,inasemekana ukizabizabina na uchakubimbi wa netanyahu umemkera trump

Source: aljazeera, channel 14
 
Kama zile tetesi za trump kutangaza kuitambua palestine itakua kweli,basi netanyahu atachunwa ngozi huko kwa wateule
 
Uzuri Netanyahu hawezi kuuza Maisha ya Raia wengi kisa mateka wachache.. HaoJamaa ukiwaacha watumwa wa Allah hao jua umepiga teke bomu wakati unakimbia litakulipukia mbele ukilifikia...
 
Hamas wanadeka sana Wanapigana vita and wanalilia chakula adui awape kwani njaa imekuwa kali.. hahahaha
 
Kwaiyo ww ujui kuwa Gaza nikama kisiwa kwa Israel ameifungia kila kitu kisiende umo ndani unadhani ingekuwa Hamas ndio IDF wangerusha ata jiwe wale wangejisalimisha wote ili tu wapate Chakula .. HAMAS wanaume kweli kweli,,
 
Back
Top Bottom