Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Jeshi la utawala wa Kizayuni liliniteka nyara kutoka Hospitali ya Shifa huko Gaza na kuniambia: Ama tukuue au tukate mguu wako. Walinitesa sana na kunikata mguu bila kupenda, na nikamwacha baba yangu gerezani.”

- Mateka wa Kipalestina aliyeachiliwa huru Adel Sobeih

View: https://x.com/warfareanalysis/status/1890742691874414860?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

IDF hapo shifa hospital waligundua ndipo ilipokuwa Commanding Center ya magaidi wa Hamas bila shaka yoyote ile huyu naye alikuwa mmoja wa magaidi hao, na Kątka purukushani za yeye kukamatwa ilibidi itumike nguvu iliyopelekea yeye kupigwa risasi ya mguu hospitali waliona wao ili kuokoa maisha yake ikalazimika wakate mguu wake. Hapo tatizo liko wapi?
 
Kuna siku nilishawahi kukuambia hizo habari zako unazipata kwa wapiga Propaganda wa kiarabu wanaoeneza chuki dhidi ya Israel na nchi za magharibi kwa hiyo wewe unatumia tu kama Condom!! Ukweli juu ya picha hiyo ni kuwa waliruhusiwa kusali ingekuwa walinyanyasika wasingeruhusiwa hata Kuswali. Kwa ajili ya Propaganda ndiyo maana wewe unatumika vibaya bila wewe kujua. Picha yenyewe iangalie hapo chini.
 
ikosi vya Al-Qassam:

Tazama: Kukabidhiwa kwa kundi la sita la wafungwa wa Kizayuni huko Gaza kama sehemu ya awamu ya kwanza ya mpango wa kubadilishana wafungwa wa mafuriko ya Al-Aqsa.

Vikosi vya Al-Qassam vilimkabidhi binti yake aliyezaliwa pete za dhahabu za mwisho.

Mfungwa wa kwanza alisema:

"Naitwa Yair Horn. Walinifahamisha kuwa nitaenda nyumbani. Ninapaswa kuwa na furaha, lakini sivyo - kwa sababu ninamuacha nyuma kaka yangu Etan. Sio tu kaka yangu Etan bali mateka wote bado wako Ukanda.

Bw. Netanyahu, kama mateka, hali yetu inazidi kuwa mbaya kila kukicha—kimwili na kiakili. Muda unakwenda. Wakati unaenda kwangu, kwa wafungwa wote, na kwa familia zetu. Wakati wetu unaisha."

Mfungwa wa pili kwa dakika 1 alisema: "Jina langu ni Sagi Dekel Han kutoka Kibbutz Nir Oz. Siku chache zilizopita, marafiki watano na mimi tuliketi pamoja. Tumekuwa hapa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ghafla, wapiganaji waliingia na kutufahamisha kwamba wawili kati yetu wangeenda nyumbani-watatu hawangeenda.

Katika vita hivi vyote, tumekuwa tukipigania maisha yetu na afya zetu. Katika kesi yangu, hali ni ngumu zaidi baada ya upasuaji mara nyingi, na majeraha ambayo yanabaki wazi. Nina binti ambaye alizaliwa mwaka mmoja na miezi miwili iliyopita—hata simfahamu. Yuko na wasichana wangu wengine wawili warembo na mke wangu. Hii ilikuwa ishara ya kwanza ya maisha ambayo nimepokea juu yao.

Sasa, nina kitu cha kufanya na pete hizi."

View: https://x.com/suppressednws/status/1890814486006689806?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizo ni Propaganda uchwara nilishakuambia unatumika vibaya hao Walioachiwa leo na magaidi wa Hamas siyo wafungwa ni Mateka lakini kwa kuwa unatumika vibaya huwezi kuyajuwa haya maana umeshazoea kulishwa Matango Pori!!
 
Netanyahu Wazungu Washenzi sio kidogo ukikubali kuwa Jinga Wanakucheka pembeni kuwa ww Zoba!! Tumeona sasa Israel kwakuwa imekuwa Zoba Israel nzima inagalamika kwenye michezo

Wazungu wa Ulaya awawataki Waisrael adi kwenye Michezo Ichi mbili za Ulaya zimeigomea Israel kushiliki kwenye michezo Wakiofia kupata aibu Israel na flag yao Wanchi wa Ulaya kwasasa Wamekuwa kama wapalestina awawapendi kabisa Waisrael Wala flag yao!!!

NETANYAHU kayatimba aiba ya Israel imechafuka Vibaya Sana NETANYAHU Ulaya awezi kwenda tena!! is over!!! yeye Ataenda marekani maybe na Russia China

NETANYAHU alikuwa anaona Sifa kuuwa Watoto Wamama!! Sasa Mwangalieni NETANYAHU popote kawa kama anaukimwi kapoteza kujiamini kwake kapoteza Ukakamavu Wake yupo yupo kama Ayupo!!!!

Anawaza jinsi kaingiza nchi kwenye Tope ilivopoteza Aiba yake Duniani . Tayari Wanajeshi wake wengine wanataka kutoloka Israel manake Mifumo ya Jesh la police la Israel kwasasa linalinda ndani ya mipaka vijana Wasiondoke

Mmoja alikamatwa airport leo siku y3 kawekwa ndani akitaka kutoloka!!!!! Hiiii ni Hatari kubwa kwa mustakbari wa Israel kwann

ipo ivi ktk Wanajeshi wa Israel yani IDF awajamaa uwa awakai sana ndani ya Israel Wamesambaa Duniani uku Wakifanya Biashara na pia kusimamia misheni za MOSSAD kwa kufadhili pesa na mengine

pale ikiitajika!!! manake ikitokea Vita awa IDF walio nje ya Israel alaka Wanalejea nyumbani kwenda kuwajibika kwenye Vita sasa hiii Vita ya Juzi imewagalimu pakubwa Kibiashara Vifo Ulemavu

sasa offu imetawala hii vita ikiisha Vijana Wakiondoka awa kikiwaka tena awajamaa Watajipoteza kwenye system zao
hii vita imewaopa Funzo kubwa!!! Kwaiyo nguvu kazi ilikuwa inakuja yenyewe sasa uko mbele itakuwa kizungumkuti labda waende awa waisrael wa kwamachale!!!
Nilijua wazungu kwako ni washenzi na makafiri
 
Wewe punguani kweli yaani mlokole mwenzako ananitukana ujaona mimi kumjibu unaleta unafiki wako nitolee upuuzi wako.
Wee msaka bikra unatufanye tumuone Mudi katika taswira yako.Unareflect Muhammad alikuwa mtu wa aina gani kupitia chuki na matusi yako.
Muhammad aendelee kuungua huko Jehanum
 
Hizo ni Propaganda uchwara nilishakuambia unatumika vibaya hao Walioachiwa leo na magaidi wa Hamas siyo wafungwa ni Mateka lakini kwa kuwa unatumika vibaya huwezi kuyajuwa haya maana umeshazoea kulishwa Matango Pori!!
Shoga mzee wewe nimeishakupuuza siku nyingi..

Mfungwa aliyeachiliwa Mazen Al-Qadi anakutana na familia yake baada ya kuachiliwa kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana fedha.

Mazen alihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kudaiwa kushiriki katika operesheni ya ufyatuaji risasi mwaka 2002 huko Tel Aviv, ambapo walowezi 3 waliuawa na wengine 35 kujeruhiwa.

View: https://x.com/menchosint/status/1890716662015406168?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wee msaka bikra unatufanye tumuone Mudi katika taswira yako.Unareflect Muhammad alikuwa mtu wa aina gani kupitia chuki na matusi yako.
Muhammad aendelee kuungua huko Jehanum
Wala usiwe na wasiwasi tunamsaka Bikira Maria ndiyo muhimu kuzidi wote😀

Wewe pia utakuwa shoga mzee yaani matusi nayatukanwa na wakolole wenzako unaona kawaida naona umehamua kuja kuwatetea mashoga wenzako karibu sana😀
 
Myahudi na Trump wamekushika pabaya!Mateka wakiisha ndo utajua hujui.Isarelis are just buying time!Vita haijaisha ndo kwanza inaanza
 
Back
Top Bottom