Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano


IDF hapo shifa hospital waligundua ndipo ilipokuwa Commanding Center ya magaidi wa Hamas bila shaka yoyote ile huyu naye alikuwa mmoja wa magaidi hao, na Kątka purukushani za yeye kukamatwa ilibidi itumike nguvu iliyopelekea yeye kupigwa risasi ya mguu hospitali waliona wao ili kuokoa maisha yake ikalazimika wakate mguu wake. Hapo tatizo liko wapi?
 
Kuna siku nilishawahi kukuambia hizo habari zako unazipata kwa wapiga Propaganda wa kiarabu wanaoeneza chuki dhidi ya Israel na nchi za magharibi kwa hiyo wewe unatumia tu kama Condom!! Ukweli juu ya picha hiyo ni kuwa waliruhusiwa kusali ingekuwa walinyanyasika wasingeruhusiwa hata Kuswali. Kwa ajili ya Propaganda ndiyo maana wewe unatumika vibaya bila wewe kujua. Picha yenyewe iangalie hapo chini.
 
ikosi vya Al-Qassam:

Tazama: Kukabidhiwa kwa kundi la sita la wafungwa wa Kizayuni huko Gaza kama sehemu ya awamu ya kwanza ya mpango wa kubadilishana wafungwa wa mafuriko ya Al-Aqsa.

Vikosi vya Al-Qassam vilimkabidhi binti yake aliyezaliwa pete za dhahabu za mwisho.

Mfungwa wa kwanza alisema:

"Naitwa Yair Horn. Walinifahamisha kuwa nitaenda nyumbani. Ninapaswa kuwa na furaha, lakini sivyo - kwa sababu ninamuacha nyuma kaka yangu Etan. Sio tu kaka yangu Etan bali mateka wote bado wako Ukanda.

Bw. Netanyahu, kama mateka, hali yetu inazidi kuwa mbaya kila kukicha—kimwili na kiakili. Muda unakwenda. Wakati unaenda kwangu, kwa wafungwa wote, na kwa familia zetu. Wakati wetu unaisha."

Mfungwa wa pili kwa dakika 1 alisema: "Jina langu ni Sagi Dekel Han kutoka Kibbutz Nir Oz. Siku chache zilizopita, marafiki watano na mimi tuliketi pamoja. Tumekuwa hapa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Ghafla, wapiganaji waliingia na kutufahamisha kwamba wawili kati yetu wangeenda nyumbani-watatu hawangeenda.

Katika vita hivi vyote, tumekuwa tukipigania maisha yetu na afya zetu. Katika kesi yangu, hali ni ngumu zaidi baada ya upasuaji mara nyingi, na majeraha ambayo yanabaki wazi. Nina binti ambaye alizaliwa mwaka mmoja na miezi miwili iliyopita—hata simfahamu. Yuko na wasichana wangu wengine wawili warembo na mke wangu. Hii ilikuwa ishara ya kwanza ya maisha ambayo nimepokea juu yao.

Sasa, nina kitu cha kufanya na pete hizi."


View: https://x.com/suppressednws/status/1890814486006689806?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizo ni Propaganda uchwara nilishakuambia unatumika vibaya hao Walioachiwa leo na magaidi wa Hamas siyo wafungwa ni Mateka lakini kwa kuwa unatumika vibaya huwezi kuyajuwa haya maana umeshazoea kulishwa Matango Pori!!
 
Nilijua wazungu kwako ni washenzi na makafiri
 
Wewe punguani kweli yaani mlokole mwenzako ananitukana ujaona mimi kumjibu unaleta unafiki wako nitolee upuuzi wako.
Wee msaka bikra unatufanye tumuone Mudi katika taswira yako.Unareflect Muhammad alikuwa mtu wa aina gani kupitia chuki na matusi yako.
Muhammad aendelee kuungua huko Jehanum
 
Hizo ni Propaganda uchwara nilishakuambia unatumika vibaya hao Walioachiwa leo na magaidi wa Hamas siyo wafungwa ni Mateka lakini kwa kuwa unatumika vibaya huwezi kuyajuwa haya maana umeshazoea kulishwa Matango Pori!!
Shoga mzee wewe nimeishakupuuza siku nyingi..

Mfungwa aliyeachiliwa Mazen Al-Qadi anakutana na familia yake baada ya kuachiliwa kama sehemu ya makubaliano ya kubadilishana fedha.

Mazen alihukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kudaiwa kushiriki katika operesheni ya ufyatuaji risasi mwaka 2002 huko Tel Aviv, ambapo walowezi 3 waliuawa na wengine 35 kujeruhiwa.

View: https://x.com/menchosint/status/1890716662015406168?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wee msaka bikra unatufanye tumuone Mudi katika taswira yako.Unareflect Muhammad alikuwa mtu wa aina gani kupitia chuki na matusi yako.
Muhammad aendelee kuungua huko Jehanum
Wala usiwe na wasiwasi tunamsaka Bikira Maria ndiyo muhimu kuzidi wote😀

Wewe pia utakuwa shoga mzee yaani matusi nayatukanwa na wakolole wenzako unaona kawaida naona umehamua kuja kuwatetea mashoga wenzako karibu sana😀
 
Wala usiwe na wasiwasi tunamsaka Bikira Maria ndiyo muhimu kuzidi wote😀

Wewe pia utakuwa shoga mzee yaani matusi nayatukanwa na wakolole wenzako unaona kawaida naona umehamua kuja kuwatetea mashoga wenzako karibu sana😀
Myahudi na Trump wamekushika pabaya!Mateka wakiisha ndo utajua hujui.Isarelis are just buying time!Vita haijaisha ndo kwanza inaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…