Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Toka lini mipango ya kishetani utafanikiwa.

Umeishauwa watu zaidi ya 60.000 mmefanikiwa nini.


View: https://x.com/clashreport/status/1891094234268069939?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mengi tu yaliyofanikiwa chini ya Benjamin Netanyahu:
1. Hamas sasa hivi si tishio tena kwa Israel viongozi wake waandamizi walishafyekelewa mbali.
2. Magaidi wa Hezbollah cha moto walishakipata Gaidi Hassan Nasrallah na Chain of Command yake yote walifyekelewa mbali si tishio tena kama mlivyokuwa mnawasifia hapo mwanzo.
3. Assad kapinduliwa na sasa Supply Chain ya magaidi wa Hezbollah kutoka kwa Bwana wao Iran imeshazibwa.
4. Wale waasi waliokuwa wanaishambulia Israel kila mara kutokea Syria sasa hivi hawa po tena.
5. Wale waasi waliokuwa wanaishambulia Israel kutokea Iraq walishafyekelewa mbali.
6. Wahouth waliokuwa wakisema hawataacha kuishambulia Israel baada ya bandari yao pendwa ya Hodeidar kushambuliwa mara mbili akili zimewarudia.
7. Baada ya Iran kuishambulia Israel kwa tuhuma za kulipiza kisasi kuuwawa Gaidi aliyefurahia sana mauaji ya Oct 07,2023 Ismail Hanniyeh Majeshi hodari ya Israel yalijibu na kuharibu mifumo ya ulinzi ya Iran hivyo kuiacha nchi hiyo ucho wa mnyama waliahidi kuipiga Israel tena kwa kutumia Operatio The Promise-3 lakini mpaka leo Operation hiyo imebuma sababu mifumo ya ulinzi ya Iran inapumulia mashine hayo ni mafanikio makubwa.
 
Hapo ushoga umeingiaje? Au ndiyo unatutangazia?
 
Mateka ameshikiwa bunduki unatarajia atasemaje?
 
Waambie wajipange upya Israel ya 1967 si ya sasa 2025 watachakazwa vizuri sana tena bila huruma
Mgambo wa Gaza wa pili wamewashindwa Gaza yenyewe inazidiwa ukubwa na Kigamboni wanamgambo wapo 25.000 tu leo wameapa masharti mabwana zako wanafuata😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…