Umeniita mimi muarabu koko ndiyo nakujibu mimi msukuma
Hiyo kuandamana na kufanya fujo kwenye nchi zingine kutawasaidia nini Gaza ingependeza wakaenda kuandamana huko Gaza!!!
Napenda mlokole aje maana anakuwa daraja watu wanapata somo😂Mlokole kachoka kutetea taifa teule Ritz unapiga support ya Ulimwengu kwa Palestina na clip!!! uyu mlokole anatetea taifa la mashoga mikono mitupu akuna nchi Wakajitolea kuandamana kuwaunga mkono Mashoga wao wanapigana na vitoto vichanga tena hospitalini. Kama picha zipo Basi Za zamani!! Kwenye mech ya kabumbu Mashabiki wamewazomea waisrael na kupeperusha Bendera ya PALESTINA.
Hao wakimbizi haram kutoka nchi za kiarabu wanaoandamana huko Ulaya na Amerika wamesaidia nini huko Gaza mbona mpaka sasa hivi tunaona kazi inaendelea kama kawaidi tu? Waarabu wanapigwa kama kawaida bila kujali waarabu wanaandamana huko Ulaya na Marekani!!Mlokole kachoka kutetea taifa teule Ritz unapiga support ya Ulimwengu kwa Palestina na clip!!! uyu mlokole anatetea taifa la mashoga mikono mitupu akuna nchi Wakajitolea kuandamana kuwaunga mkono Mashoga wao wanapigana na vitoto vichanga tena hospitalini. Kama picha zipo Basi Za zamani!! Kwenye mech ya kabumbu Mashabiki wamewazomea waisrael na kupeperusha Bendera ya PALESTINA.
Tatizo lako hujui unachoshabikia huko Ulaya na Marekani kuna wayahudi wengi sana kuliko walioko Israel.Ulaya kwasasa waisrael wamekuwa wanyonge mwanzo walitaka kuwasingizia Waarabu au Waislam lkn sasa Ukweli upo Wazi Waisrael awatakiwi ULAYA na Wazungu wenzao!!!!