Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Data zako zisipokuwa na
1. CREDIBBLE SOURCE
2. RELIABLE SOURCE
3. AUTHOURITATIVE
zitakuwa Matango Pori tu data gani hiyo ya WIKIPEDIA ambavyo hata wewe unaweza kuingia huko na kuweka UHARO wako huko na wajinga wanaokuabudu wakaona ni sawa wakati ni uongo. Angalia hapa rais wa ICJ akihojiwa alivyojibu.
View: https://x.com/koshercockney/status/1856408055937937497?s=61 Wewe wajinga na wapumbavu tu ndiyo wanaweza kuzikubali habari zako maana hazina hivyo vitu vitatu mara zote wewe una copy habari kutoka kwa wapiga Propaganda wa kiarabu na wanaopinga Israel tatizo lao wanaandika tu Propaganda zao ili walipwe wakati habari hizo hazina ukweli wowote na wewe wana kutumia tu kama condom bila wewe kujua.
 
Ardhi ya GAZA inauzwa kwa DAMU TU Wawe Tayali kufa kama wenzao waliolala milele walipofata akili za Netanyahu mtoto wake kamficha Marekani!!!
Eti mtoto wake kamficha Marekani!! Hapo ndipo akili zenu zilipoishia!!
 
Wakati mwingine uwe unatumia akili yako vizuri!! Wewe umo humu JF miaka mingi lakini Sijaona u-Great-Thinker wako sana sana umekalia kuimba taarabu za kiarabu tu. Neno Genocide limefafanuliwa humu Mwaka 2011 lakini wewe umepumbazika na Propaganda za waarabu na kujitoa ufahamu na sasa unaonekana zuzu waziwazi kabisa. Soma hapo chini uelewe maana ya Genocide harafu Ulinganishe na Genocide ya Mchongo huko Gaza.
 
Eti mtoto wake kamficha Marekani!! Hapo ndipo akili zenu zilipoishia!!
Sasa ndio ukweli!!! Afu ww ule Uzi wako unadai HAMAS wameufyata!! Lkn Trump alitoa siku na masaa kwa HAMASI kuwa jumamosi saa 5 Mateka wote wawe wamekabidhi leo Juma4 kipo wapi Mlokole wenu kafanya nini yule PUTO tu la watoto!!!! chezea Hamas IDF kibao wamezikwa milele amina!!!
 
Miili ya familia ya bibas itatolewa Alhamisi ijayo.

Hatima ya familia ya Bibas ilikuwa tayari imetangazwa tangu Novemba 2023 na inajulikana lakini Waisraeli bado wanawatumia silaha.— Yardin Bibas aliachiliwa katika mazungumzo hayo wiki 1-2 zilizopita.

Waisraeli wamerejea kuchapisha kuhusu watoto na familia ya Bibas. Nahitaji kukukumbusha kilichotokea kwa sababu kwa sasa wanatengeneza awamu ya kuonyesha hasira baadaye, licha ya ukweli kwamba tayari wanaujua.

Israel iliua familia ya Bibas—walimuua Kfir, mama yake, na kaka yake—na kisha wakakataa kuchukua maiti zao wakati Al-Qassam alipozitoa.

Al-Qassam alitangaza mnamo Novemba 2023—na tena Desemba 2023—kwamba miili yao ilitolewa kwa Netanyahu, lakini aliikataa!

Sikiliza Yarden Bibas, ambaye alizungumza mnamo Januari 2024 [Video1].

Kanda za kuanzia tarehe 7 Oktoba 2023 zinaonyesha jinsi walivyotendewa siku hiyo [Video2].


View: https://x.com/suppressednws/status/1891849856026558691?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ndiyo maana nakuita punguani mimi nakupa data kutoka UN. ICJ wewe unaniletea data kutoka post za JF😂😂

What is Genocide?​


Genocide as a term did not exist before 1944. Learn about its origins and legal definition. search.app

Jinga sana wewe nakuweke mpaka Wikipidia Gaza Genocide👇🏽

Badala ya kusoma na kuelewa unalotea data za mijadala ya JF ndiyo ushahidi😬

Amnesty International investigation concludes Israel is committing genocide against Palestinians in Gaza​


Usiwe punguani unajiabisha.
 
BREAKING: On Saturday, 602 Palestinian detainees will be released, including 445 prisoners from Gaza who were abducted after October 7 including women and minors, and 157 prisoners serving life sentences.
=======================

⚡️BREAKING: Siku ya Jumamosi, wafungwa 602 Wapalestina wataachiliwa, wakiwemo wafungwa 445 kutoka Gaza waliotekwa nyara baada ya Oktoba 7 wakiwemo wanawake na watoto wadogo, na wafungwa 157 wanaotumikia vifungo vya maisha jela.
 
Narudia tena Acheni ujinga!! Trump alikuwa anatoa masoni yake na Israel ndiye mwenye ma’am I nini cha kufanya sasa wewe umegeuza maneno. Israel ni nchi huru Ina maamuzi
Acha ujinga toka lini wafungwa wakatekwa nyara au mateka wakafungwa? Wafungwa ni wapalestina waliofungwa huko Israel kwa Mąkosa mbalimbali yakiwemo ya Ubakaji,wazi,mauaji na Ugaidi. Watu hao walipatikana na makosa ndipo walifungwa. Mateka ni wale Oct 07,2023 waliteka nyara na magaidi wa Hamas na kupelekwa Gaza hao hawana makosa yoyote bali waliteka nyara na magaidi tu. Hivyo acha kukom aza fuvu wanaoachiwa kutoka Israel ni Wafungwa na wanaoachiwa kutoka Gaza ni Mateka bila Shaka nimekupa darasa la kutosha.
 
Hahahaha😀😂 habari nikuletee mimi kisha wewe ndiyo unipe darasa wewe kweli hamnazo.
 
Punguani ni wewe ambaye unaniletea data za WIKIPEDIA ambako wewe mwenyewe unaweza kuingia huko na kuacha UHARO wako huko harafu wajinga wakaamini ni habari za kweli kumbe hakuna kitu. Nimekuwekea Mzee mwanakijiji alishatoa ufafanuzi wa nini maana ya Genocide humu humu JF lakini hukuona bandiko hilo nimekuambia ulinganishe na uone kuwa Gaza kuna Genocide ya Mchongo.
 
Hivi nikiendelea kukuita punguani takuwa nakosea hahahaha😀 eti umeniwekea Mwanakijiji ni nani?

Chukuwa na hii data.

Amnesty International’s research has found sufficient basis to conclude that Israel has committed and is continuing to commit genocide against Palestinians in t… Source: Amnesty International search.app
 
Hahahaha😀😂 habari nikuletee mimi kisha wewe ndiyo unipe darasa wewe kweli hamnazo.
Kwa akili yako kiduchu wanaoachiwa kutoka Israel ni Mateka na wanaoachiwa kutoka Gaza ni Wafungwa?? Kama ni hivyo basi utakuwa na kichwa cha Pazi!!
 
Tumia akili yako vizuri Afrika kusini walipo shitaki Israel ilipatikana na hatia ya mauaji ya kimbari au hakuna? Kama hakuna unajua kwa nini? Hata sasa Afrika kusini wanataka kufungua mashtaka tena!!
 
Wewe ndiyo punguani The court did not rule whether Israel had committed genocide - but did its wording mean that it was convinced there was a risk of that happening? This is where the dispute over what the court actually meant then took off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…