Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Narudia tena Acheni ujinga!! Trump alikuwa anatoa masoni yake na Israel ndiye mwenye ma’am I nini cha kufanya sasa wewe umegeuza maneno. Israel ni nchi huru Ina maamuzi

Acha ujinga toka lini wafungwa wakatekwa nyara au mateka wakafungwa? Wafungwa ni wapalestina waliofungwa huko Israel kwa Mąkosa mbalimbali yakiwemo ya Ubakaji,wazi,mauaji na Ugaidi. Watu hao walipatikana na makosa ndipo walifungwa. Mateka ni wale Oct 07,2023 waliteka nyara na magaidi wa Hamas na kupelekwa Gaza hao hawana makosa yoyote bali waliteka nyara na magaidi tu. Hivyo acha kukom aza fuvu wanaoachiwa kutoka Israel ni Wafungwa na wanaoachiwa kutoka Gaza ni Mateka bila Shaka nimekupa darasa la kutosha.
Kwanza ungesoma na kuelewa sijui kama ungejidhalilisha kujibu ivyo !!!! Zwazwa sana

kilichooandikwa wafungwa 157 na WAPALESTINA waliotekwa baada ya 7octb 445 majesh ya Israel yalipoingia Gaza yalibebe watu kama wao walivobebwa uko Israel

sasa jamaaa unadai awa wafungwa sijui walibaka sijui wezi!!!!!! Na picha zipo wakichukuliwa awa Wapalestina!!!

Jamaa muongo muongo sana!!! Ndio mana nimekupa nafasi ya kwanza ktk Walokole waongo zaid umu jamii forum!!!
 
Propaganda uchwara hizo yeye alikuwa ameshikwa mateka na magaidi wa Hamas hayo yote kayajulia wapi hayo?
Wewe ndio unae sema lkn mumewe mwenyewe anajua ukweli kuwa HAMAS Ilifanya juudi kubwa kuwalinda na IDF+ Netanyahu wasiuwawe kwenye makombora yao!!! Ukweli anaujua mumewe sio ww mlokole wa kiteto ndanindani!!!
 
Wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo wataamini kuwa Hamas hawa kumuua huyo mama na watoto wake!!. Tumia akili yako vizuri fikiria Oct 07,2023 Hamas na raia wengine walivamia Israel na kuua watu 1,200 na wengine kuwateka nyara kwa nguvu kuwapeleka Gaza Bibas mmewe naye alikuwa mmoja wa mateka hao kwa akili ya kawaida alijuaje hayo yote? Nani alimpa nafasi ya kurekodiwa wakati yeye tayari ni mateka? Je watekaji kwa nini walimchagua yeye aseme maneno hayo? Je walitaka kuficha nini? Au baada ya kuua Mwanameka na watoto wake wawili walitaka kujisafisha ili wasionekane hawa kumuua huyo Mama na watoto wake wakati ulimwengu mzima unajua waliuwa watu 1,200!!, ni wajinga na Wapumbavu kama wewe ndiyo wanasema Magaidi hao hawa kufanya mauaji hayo ya kutisha.
 
Rudi shule kwanza ukajifunze kuandika ulichoandika hapa ni UHARO tu.
 
Hu
Wewe ndio unae sema lkn mumewe mwenyewe anajua ukweli kuwa HAMAS Ilifanya juudi kubwa kuwalinda na IDF+ Netanyahu wasiuwawe kwenye makombora yao!!! Ukweli anaujua mumewe sio ww mlokole wa kiteto ndanindani!!!
Huyo mmewe kaupata wapi ukweli wakati yeye mwenyewe alichukuliwa mateka?? Wajinga na wapumbavu kama wewe hawawezi kujiuliza swali hili!!!!
 
Wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo wataamini kuwa Hamas hawa kumuua huyo mama na watoto wake!!. Tumia akili yako vizuri fikiria Oct 07,2023 Hamas na raia wengine walivamia Israel na kuua watu 1,200 na wengine kuwateka nyara kwa nguvu kuwapeleka Gaza Bibas mmewe naye alikuwa mmoja wa mateka hao kwa akili ya kawaida alijuaje hayo yote? Nani alimpa nafasi ya kurekodiwa wakati yeye tayari ni mateka? Je watekaji kwa nini walimchagua yeye aseme maneno hayo? Je walitaka kuficha nini? Au baada ya kuua Mwanameka na watoto wake wawili walitaka kujisafisha ili wasionekane hawa kumuua huyo Mama na watoto wake wakati ulimwengu mzima unajua waliuwa watu 1,200!!, ni wajinga na Wapumbavu kama wewe ndiyo wanasema Magaidi hao hawa kufanya mauaji hayo ya kutisha.
Jamaaa muongo na kuongopa kwenu sio dhambi ndio mana watu wanaambiwa viwete vipofu viziwi watapona kwa mikelele ya kichungaji

uwongo kwenu Ibada mlokole kujibishana na muongo kama ww nikutumia akili yangu vibaya

Unabishana adi na mume wa mfiwa ambaye ameweka wazi kuwa ni Israel Wamemuuwa mkewe na watoto!!!

Ww Mlokole upo kidudwe ndani ndani ndio ujue ni Hamas!!!!!!!
 
Propaganda uchwara hizo yeye alikuwa ameshikwa mateka na magaidi wa Hamas hayo yote kayajulia wapi hayo?

Al-Qassam inajiandaa kukabidhi mabaki ya Waisraeli wanne huko Bani Suheila, mashariki mwa Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Gaza.

"Unazi wa Kizayuni kwa idadi"
"Kurudi kwa vita = Kurudi kwa wafungwa wako katika majeneza."
"Mhalifu wa kivita Netanyahu na jeshi lake waliwaua kwa makombora ya ndege za kivita za Kizayuni"

View: https://x.com/suppressednws/status/1892444351822725387?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wakuu karibuni niwape Up Date news kutoka Gaza.

BODIES OF ISRAELI CAPTIVES BEING RELEASED INCLUDE SHIRI BIBAS AND HER TWO CHILDREN
 
MIILI YA SHIRI BIBAS, ARIEL BIBAS, KFIR BIBAS NA ODED LIFSHITZ ITAREJESHWA ISRAEL..

Vipi maiti ya Joshua?

Wayahudi walikuwa Joshua wakasema Hamas.

Hamas wamesema hawana huo mwili wangekuwa nao ingekuwa faida kwao wangeongeza Wapelestina wengi kutoka Gerezani.
 
Propaganda uchwara hizo yeye alikuwa ameshikwa mateka na magaidi wa Hamas hayo yote kayajulia wapi hayo?
Vyombo vya habari vya Kiebrania viliamsha picha hii ambayo walielezea kama "ya kushtua" - jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kutoa miili ya Israeli leo.

"Mhalifu wa kivita Netanyahu na jeshi lake waliwaua kwa makombora ya ndege za kivita za Kizayuni"

"Hatusahau wala hatusamehe"

View: https://x.com/suppressednws/status/1892436598660255768?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kanda za video zinazotangazwa na vyombo vya habari vya Israeli za baba yetu, Dk. Husam Abu Safiya, mkurugenzi wa Hospitali ya Kamal Adwan, bado ni aina nyingine ya ugaidi wa kisaikolojia, na kuongeza mateso ambayo amevumilia kwa muda wa miezi miwili iliyopita. Pia inaakisi upotoshaji wa wazi wa vyombo vya habari kupitia upotoshaji na urekebishaji wa taarifa zake.

Alipoulizwa kuhusu wafungwa wa Israel, alijibu kuwa yeye ni daktari wa watoto. Hata hivyo, jibu lake lilibadilishwa kwa makusudi na kupotoshwa, licha ya yeye kukanusha kabisa tuhuma zote zilizotolewa dhidi yake.

Sisi familia ya Dk. Husam Abu Safiya, tunakataa chombo chochote cha habari kinachochapisha video hiyo bila kushughulikia ugaidi wa kisaikolojia unaohusika na kufichua upotoshaji wa taarifa zake.

Kumwona baba yetu akiwa amefungwa pingu na hawezi kusogea kunapaswa kuchochea hatua ya haraka na endelevu ili kuhakikisha kuachiliwa kwake mara moja.
🇵🇸
.

View: https://x.com/hussamabusafiya/status/1892291420561584242?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Al-Qassam inajiandaa kukabidhi mabaki ya Waisraeli wanne huko Bani Suheila, mashariki mwa Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Gaza.

"Unazi wa Kizayuni kwa idadi"
"Kurudi kwa vita = Kurudi kwa wafungwa wako katika majeneza."
"Mhalifu wa kivita Netanyahu na jeshi lake waliwaua kwa makombora ya ndege za kivita za Kizayuni"

View: https://x.com/suppressednws/status/1892444351822725387?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hizo ni Propaganda za kijinga hakuna atakayekubali ujinga huo,Hamas waliwateka na kuwaua Mama na watoto wake.hiyo dhambi magaidi wa Hamas itawatafuna!!
 
Taarifa ya Hamas kuhusu Kukabidhiwa Miili Nne ya Mateka wa Kizayuni na Vikosi vya Al-Qassam:

Vikosi vya Al-Qassam na upinzani vilihakikisha kwamba hafla ya kukabidhi miili ya mateka inaheshimu utu wa wafu na hisia za familia zao, licha ya ukweli kwamba jeshi la uvamizi halikujali maisha yao walipokuwa hai.

Tukahifadhi maisha ya mateka wa kazi hiyo, na tukawaruzuku tuwezavyo, na tukawafanyia ubinadamu, lakini jeshi lao wenyewe likawaua pamoja na watekaji wao.

Jeshi la adui wa Kizayuni liliwaua mateka wake wenyewe kwa kushambulia kwa mabomu maeneo walimokuwa wakishikiliwa. Serikali ya uvamizi wa Nazi inawajibika kikamilifu, kwani ilizuia mara kwa mara makubaliano ya kubadilishana.

Leo, mhalifu Netanyahu analia juu ya miili ya mateka wake, ambao wamerudi kwake katika majeneza, katika jaribio la wazi la kukwepa jukumu la vifo vyao mbele ya umma wake.

Vikosi vya Al-Qassam na muqawama vilifanya kila wawezalo kuwalinda mateka hao na kuhifadhi maisha yao, lakini mashambulizi ya kiholela na ya kiholela ya Israel yaliwazuia kuwaokoa mateka wote.

Kwa familia za Bibas na Lifshitz, tungependelea wana wenu warudi kwenu wakiwa hai, lakini viongozi wa jeshi lenu na serikali walichagua kuwaua badala ya kuwarudisha. Pia waliwauwa watoto 17881 wa Kipalestina katika shambulio la kihalifu la Gaza. Tunajua unaelewa ni nani anayehusika na vifo vyao. Mmekuwa wahanga wa uongozi usiojali watu wake.

Tunathibitisha tena kwamba kubadilishana wafungwa ndiyo njia pekee ya kuwarudisha wafungwa wakiwa hai kwa familia zao. Jaribio lolote la kuwarejesha kwa nguvu za kijeshi au kurudi vitani kutasababisha hasara zaidi miongoni mwa mateka.
 
Back
Top Bottom