Kwanza ungesoma na kuelewa sijui kama ungejidhalilisha kujibu ivyo !!!! Zwazwa sanaNarudia tena Acheni ujinga!! Trump alikuwa anatoa masoni yake na Israel ndiye mwenye ma’am I nini cha kufanya sasa wewe umegeuza maneno. Israel ni nchi huru Ina maamuzi
Acha ujinga toka lini wafungwa wakatekwa nyara au mateka wakafungwa? Wafungwa ni wapalestina waliofungwa huko Israel kwa Mąkosa mbalimbali yakiwemo ya Ubakaji,wazi,mauaji na Ugaidi. Watu hao walipatikana na makosa ndipo walifungwa. Mateka ni wale Oct 07,2023 waliteka nyara na magaidi wa Hamas na kupelekwa Gaza hao hawana makosa yoyote bali waliteka nyara na magaidi tu. Hivyo acha kukom aza fuvu wanaoachiwa kutoka Israel ni Wafungwa na wanaoachiwa kutoka Gaza ni Mateka bila Shaka nimekupa darasa la kutosha.
kilichooandikwa wafungwa 157 na WAPALESTINA waliotekwa baada ya 7octb 445 majesh ya Israel yalipoingia Gaza yalibebe watu kama wao walivobebwa uko Israel
sasa jamaaa unadai awa wafungwa sijui walibaka sijui wezi!!!!!! Na picha zipo wakichukuliwa awa Wapalestina!!!
Jamaa muongo muongo sana!!! Ndio mana nimekupa nafasi ya kwanza ktk Walokole waongo zaid umu jamii forum!!!