Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hata kama ni gaidi hawezi kuua watoto wake hizo ni propaganda kuwasafisha magaidi wa Hamas waliotekeleza mauaji hayo ya kinyama baada ya Mama huyo kukataa kubakwa na magaidi hao wakaona bora wamuue baadaye wakawaua na watoto wake!!
Hizo fikra zako hamna hata Muisrael mmoja kaishawahi kusema hivyo wale wanawake mateka wa Israel walikuwa hawataki kurudi Israel kwa ukarimu wa Hamas.
 
Sasa unakasirika nini Al Jazeera mwaka wa tatu mfulilizo wanachukuwa tuzo ya kituo bora cha habari duniani.

Wewe endelea kuangalia CNN na BBC.
 
Hii habari ulikuwa unaijua au huko CNN na BBC umeishakutana nayo?
Mamlaka ya Israeli inazuia takriban miili 665 ya Wapalestina, baadhi yao kuzikwa au kuhifadhiwa kwenye jokofu tangu miaka ya 1960, na wengine waliuawa hivi majuzi kama wiki iliyopita, kulingana na Kampeni ya Kitaifa ya Kurejesha.


View: https://x.com/ajenglish/status/1892384928228397395?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hizo ni Propaganda za kijinga hakuna atakayekubali ujinga huo,Hamas waliwateka na kuwaua Mama na watoto wake.hiyo dhambi magaidi wa Hamas itawatafuna!!
Mbona awakuwauwa na mateka wengine kwaiyo Wapalestina 60000 wote wameuwawa na HAMAS kupitia mindege Vita yao ilikuwa ikishambuliwa tunao milipuko kumbe wale HAMAS sio jesh la Israel !!!!!! Mlokole wewe ulifaaa kuitwa Kondoooo!!!!!
 
Hata kama ni gaidi hawezi kuua watoto wake hizo ni propaganda kuwasafisha magaidi wa Hamas waliotekeleza mauaji hayo ya kinyama baada ya Mama huyo kukataa kubakwa na magaidi hao wakaona bora wamuue baadaye wakawaua na watoto wake!!
Ukristo wako ndio umekufanya uitwe mlokole KONDOOO kichwani Ushuzi tupu!!!
 
Ukristo wako ndio umekufanya uitwe mlokole KONDOOO kichwani Ushuzi tupu!!!
Uislamu wako ndiyo umekufanya uwe na domo lililojaa matusi? Waislam sijui mna matatizo gani mna midmorning Michafu iliyojaa matusi sana!!
 
NETANYAHU Pumbavu Akili alina!!!! sasa yeye ndio kacheza kamari mbaya!!! Imewagalimu WAISRAEL vifo vilema pasi na SABABU!!!!

HAMAS tangu mwanzo walipoteka siku ya pili yake Wakatangaxa kuwa Wao awataki Vita ila Wanataka tu kubadilishana Mateka na ISRAEL!!

wakati huo nayo ISRAEL inawashikilia mateka WAPALESTINA karibu erufu 10000 awana makosa yoyote

ila ni UJUA UBABE UBEBERU tu Hamas wakiwa Watulivu sana walijiamini ndio mana walivamia KAMBI za JESH 4 uko ISRAEL

sasa NETANYAHU alitakiwa kwanza akubaliane na HAMAS ili kuwatoa WAPALESTINA nayeye angechukua RAIA wa ISRAEL wote wakiwa Wazima wa Afya

baada ya apo ndio kama lilitaka kuuwa watu ovyo kama kuku lingefanya Upumbavu wake lkn uku linataka kumwaga DAMU Wapalestina

uku Linajidai linawatafuta Raia wa ISRAEL uko uko Walipo Yeye ndio anapeleka makombora makubwa leo atajidai nayeye analia kuusu WAFU wao!!!!
 
Kama misikitini mnafundishwa hivyo basi mtaendelea kuwa mazuzu mpaka mwisho!!
 
Akili ya Madogoli inakuongoza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…