Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

⚡️BREAKING:

Leo, Gaza ilipokea idadi kubwa zaidi ya lori, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Israeli kufuata kikamilifu mahitaji ya kila siku, hii inakuja baada ya tangazo la Al-Qassam la kuchelewesha kubadilishana kama Israeli haitazingatia makubaliano.

Jumla ya lori zilizoingia: 801
Jumla ya kaskazini: 231
Kutoka Beit Hanoun/Erez Crossing: 139
Kutoka kwa makazi ya Zikim: 92
Jumla ya kusini: 570
(pamoja na malori 10 ya gesi na lori 29 za mafuta)

Chanzo: @AbubakerAbedW

View: https://x.com/suppressednws/status/1889773797928214915?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Lkn HII Saudia Arabia kama naona wanazuga zuga ili Isije kuchapwa Nayeye mana awa Saudia wamejiweka Wazi kuwa awatoi Supot kwa Palestina zaid ya kelele zao za kinafiko!!! awa lao moja na Israel nyuma ya pazia!!!! Lkn mbele za MEDIA wanajidai Wanamgogolo!!!!
Isssue siyo kussusport Wapelestina jana jumuiya ya Kiarabu wamefanya mkutano wate wamekubaliana hamna Palestina kutoka Gaza wala nchi yeyote ya kiarabu kuwachukuwa Wapelestina wanajua wakiruhusu Marekani na Israel waichukuw Gaza kesho wataenda nchi iingine, hamna nchi iliyokuwa kali kwenye hili suala kama Misri😀
 
⚡️BREAKING:

Leo, Gaza ilipokea idadi kubwa zaidi ya lori, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Israeli kufuata kikamilifu mahitaji ya kila siku, hii inakuja baada ya tangazo la Al-Qassam la kuchelewesha kubadilishana kama Israeli haitazingatia makubaliano.

Jumla ya lori zilizoingia: 801
Jumla ya kaskazini: 231
Kutoka Beit Hanoun/Erez Crossing: 139
Kutoka kwa makazi ya Zikim: 92
Jumla ya kusini: 570
(pamoja na malori 10 ya gesi na lori 29 za mafuta)

Chanzo: @AbubakerAbedW

View: https://x.com/suppressednws/status/1889773797928214915?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Nani hujui kuwa Wafuga Midevu na Majini wameufyata baada ya kupigwa mkwala mbuzi na Netanyahu? Hamas walisema wamesitisha huo mkataba!! Sasa hivi wanarudia kula matapishi yao “COWARD” niliwaambia mapema sana na mimi Niki kuwa nawaombea muendelee na kushupaza mafuvu ili Jumamosi tuone Kama kweli ni wanaume. Hamas ni Magaidi hapa mmechomoa msijidanganye kuwa vita imeisha elewa Israel inataka watu wake na ikishawapata tu Hamas wanapigwa kipigo cha mbwa-koko. Na nami i Mwaka huu hauishi Hamas watakuwa hawatawali Gaza tena
 
Hahaha angalia huyu punguani eti niliwambia nimecheka wewe shabiki mandazi mlokole hujui lolote endelea kukaza mshipa wa tako.

Mzigo huu unaingia Gaza baada ya mkwala wa Hamas.

View: https://x.com/qudsnen/status/1889976037515358609?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Misri wanajua sana mziki wa IDF maana toka 1947,1948,1967 na 1973 Yom Kipur war kama wanataka kujitoa ufahamu Let them do!!!
Hujui lolote wewe punguani Marekani yaipatia Misri msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.3, kila mwaka kupita masharti ya wasipigane na Israel, wewe yahudi jeusi wa Makete unaumwa UTI sugu kujitibu huwezi.
 
Hahaha angalia huyu punguani eti niliwambia nimecheka wewe shabiki mandazi mlokole hujui lolote endelea kukaza mshipa wa tako.

Mzigo huu unaingia Gaza baada ya mkwala wa Hamas.

View: https://x.com/qudsnen/status/1889976037515358609?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Punguani ni wewe ambaye ulituambia kuwa Israel imezuia kumpeleka misaada ya vyakula wewe leo hii unajificha kwenye magreder!! Au hiyo ndiyo Taqiya? Sema ukweli tu kuwa Hamas Wameufyata baada ya kupigwa na Mkwara wa Netanyahu!!
 
Hujui lolote wewe punguani Marekani yaipatia Misri msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.3, kila mwaka kupita masharti ya wasipigane na Israel, wewe yahudi jeusi wa Makete unaumwa UTI sugu kujitibu huwezi.
Punguani ni wewe Mwarabu-koko ambaye hujui kilichowapata waarabu 1967
 
😅😅😅

Today, Israel conveyed a message to Hamas through mediators, stating that if Hamas complies with the agreement and releases the three hostages on Saturday, Israel will also continue to uphold its side of the agreement.—Source: Axios - Barak Ravid.
 
Punguani ni wewe ambaye ulituambia kuwa Israel imezuia kumpeleka misaada ya vyakula wewe leo hii unajificha kwenye magreder!! Au hiyo ndiyo Taqiya? Sema ukweli tu kuwa Hamas Wameufyata baada ya kupigwa na Mkwara wa Netanyahu!!
Ndiyo maana nakuita punguani Hamas walisema kama Israel wataendelea kuzuia misaada waliokubaliana hawataendelea kuwaachia mateka baada ya mikwara huu wameachia misaada na hizo mashine walikuwa hawataki ziingie Gaza.
 
Prove Kama Israel ilikuwa haitaki kuingiza hizo mashine. Wewe ulitoa taarifa kuwa Israel wamezuia misaada ya vyakula na ulitoa na idadi ya magari. Leo hii unapindua męża na kudai walizki a mashine. Usitufanye wote humu ni Mazuzu Kama wewe. Tu Najua Hamas wameogopa tu Mkwara wa Netanyahu. Pamoja na Hamas kusalimu amri wasifikiri kuwa vita vimeisha!! Israel inataka sana watu wake warudi nyumbani wakiwa hai au wafu baada ya hapo ndipo mtajua Israel ni kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Uajemi. Kwa hiyo hiyo Taqiya yenu danganyeni wajinga na wapumbavu Kama Adiosamigo
 
Punguani ni wewe ambaye ulituambia kuwa Israel imezuia kumpeleka misaada ya vyakula wewe leo hii unajificha kwenye magreder!! Au hiyo ndiyo Taqiya? Sema ukweli tu kuwa Hamas Wameufyata baada ya kupigwa na Mkwara wa Netanyahu!!
Soma hii wewe punguani.

Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yanatazamiwa kuanza tena huku utawala wa Israel ukiruhusu kuingia kwa maelfu ya mahema na misafara ya Wapalestina waliokimbia makazi yao ambao nyumba zao ziliharibiwa wakati wa uvamizi wa hivi karibuni wa Israel kwenye eneo hilo.

View: https://x.com/qudsnen/status/1889949547713212529?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom