Lkn HII Saudia Arabia kama naona wanazuga zuga ili Isije kuchapwa Nayeye mana awa Saudia wamejiweka Wazi kuwa awatoi Supot kwa Palestina zaid ya kelele zao za kinafiko!!! awa lao moja na Israel nyuma ya pazia!!!! Lkn mbele za MEDIA wanajidai Wanamgogolo!!!!
Kukiwa shwali unatupa nini mlokole ww?Endeleeni kushupaza shingo Jumamosi mchana si mbali mtakiona cha moto!!
Acha ujinga si kila mtu ni Mlokole!!Kukiwa shwali unatupa nini mlokole ww?
Isssue siyo kussusport Wapelestina jana jumuiya ya Kiarabu wamefanya mkutano wate wamekubaliana hamna Palestina kutoka Gaza wala nchi yeyote ya kiarabu kuwachukuwa Wapelestina wanajua wakiruhusu Marekani na Israel waichukuw Gaza kesho wataenda nchi iingine, hamna nchi iliyokuwa kali kwenye hili suala kama Misri😀Lkn HII Saudia Arabia kama naona wanazuga zuga ili Isije kuchapwa Nayeye mana awa Saudia wamejiweka Wazi kuwa awatoi Supot kwa Palestina zaid ya kelele zao za kinafiko!!! awa lao moja na Israel nyuma ya pazia!!!! Lkn mbele za MEDIA wanajidai Wanamgogolo!!!!
Acha ujinga si kila mtu ni Mlokole!!
Misri wanajua sana mziki wa IDF maana toka 1947,1948,1967 na 1973 Yom Kipur war kama wanataka kujitoa ufahamu Let them do!!!
Nani hujui kuwa Wafuga Midevu na Majini wameufyata baada ya kupigwa mkwala mbuzi na Netanyahu? Hamas walisema wamesitisha huo mkataba!! Sasa hivi wanarudia kula matapishi yao “COWARD” niliwaambia mapema sana na mimi Niki kuwa nawaombea muendelee na kushupaza mafuvu ili Jumamosi tuone Kama kweli ni wanaume. Hamas ni Magaidi hapa mmechomoa msijidanganye kuwa vita imeisha elewa Israel inataka watu wake na ikishawapata tu Hamas wanapigwa kipigo cha mbwa-koko. Na nami i Mwaka huu hauishi Hamas watakuwa hawatawali Gaza tena⚡️BREAKING:
Leo, Gaza ilipokea idadi kubwa zaidi ya lori, ikiwa ni mara ya kwanza kwa Israeli kufuata kikamilifu mahitaji ya kila siku, hii inakuja baada ya tangazo la Al-Qassam la kuchelewesha kubadilishana kama Israeli haitazingatia makubaliano.
Jumla ya lori zilizoingia: 801
Jumla ya kaskazini: 231
Kutoka Beit Hanoun/Erez Crossing: 139
Kutoka kwa makazi ya Zikim: 92
Jumla ya kusini: 570
(pamoja na malori 10 ya gesi na lori 29 za mafuta)
Chanzo: @AbubakerAbedW
View: https://x.com/suppressednws/status/1889773797928214915?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hahaha angalia huyu punguani eti niliwambia nimecheka wewe shabiki mandazi mlokole hujui lolote endelea kukaza mshipa wa tako.Nani hujui kuwa Wafuga Midevu na Majini wameufyata baada ya kupigwa mkwala mbuzi na Netanyahu? Hamas walisema wamesitisha huo mkataba!! Sasa hivi wanarudia kula matapishi yao “COWARD” niliwaambia mapema sana na mimi Niki kuwa nawaombea muendelee na kushupaza mafuvu ili Jumamosi tuone Kama kweli ni wanaume. Hamas ni Magaidi hapa mmechomoa msijidanganye kuwa vita imeisha elewa Israel inataka watu wake na ikishawapata tu Hamas wanapigwa kipigo cha mbwa-koko. Na nami i Mwaka huu hauishi Hamas watakuwa hawatawali Gaza tena
Hujui lolote wewe punguani Marekani yaipatia Misri msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.3, kila mwaka kupita masharti ya wasipigane na Israel, wewe yahudi jeusi wa Makete unaumwa UTI sugu kujitibu huwezi.Misri wanajua sana mziki wa IDF maana toka 1947,1948,1967 na 1973 Yom Kipur war kama wanataka kujitoa ufahamu Let them do!!!
Punguani ni wewe ambaye ulituambia kuwa Israel imezuia kumpeleka misaada ya vyakula wewe leo hii unajificha kwenye magreder!! Au hiyo ndiyo Taqiya? Sema ukweli tu kuwa Hamas Wameufyata baada ya kupigwa na Mkwara wa Netanyahu!!Hahaha angalia huyu punguani eti niliwambia nimecheka wewe shabiki mandazi mlokole hujui lolote endelea kukaza mshipa wa tako.
Mzigo huu unaingia Gaza baada ya mkwala wa Hamas.
View: https://x.com/qudsnen/status/1889976037515358609?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Punguani ni wewe Mwarabu-koko ambaye hujui kilichowapata waarabu 1967Hujui lolote wewe punguani Marekani yaipatia Misri msaada wa kijeshi wa dola bilioni 1.3, kila mwaka kupita masharti ya wasipigane na Israel, wewe yahudi jeusi wa Makete unaumwa UTI sugu kujitibu huwezi.
Ndiyo maana nakuita punguani Hamas walisema kama Israel wataendelea kuzuia misaada waliokubaliana hawataendelea kuwaachia mateka baada ya mikwara huu wameachia misaada na hizo mashine walikuwa hawataki ziingie Gaza.Punguani ni wewe ambaye ulituambia kuwa Israel imezuia kumpeleka misaada ya vyakula wewe leo hii unajificha kwenye magreder!! Au hiyo ndiyo Taqiya? Sema ukweli tu kuwa Hamas Wameufyata baada ya kupigwa na Mkwara wa Netanyahu!!
Prove Kama Israel ilikuwa haitaki kuingiza hizo mashine. Wewe ulitoa taarifa kuwa Israel wamezuia misaada ya vyakula na ulitoa na idadi ya magari. Leo hii unapindua męża na kudai walizki a mashine. Usitufanye wote humu ni Mazuzu Kama wewe. Tu Najua Hamas wameogopa tu Mkwara wa Netanyahu. Pamoja na Hamas kusalimu amri wasifikiri kuwa vita vimeisha!! Israel inataka sana watu wake warudi nyumbani wakiwa hai au wafu baada ya hapo ndipo mtajua Israel ni kidume huko Mashariki ya kati mpaka huko Uajemi. Kwa hiyo hiyo Taqiya yenu danganyeni wajinga na wapumbavu Kama AdiosamigoNdiyo maana nakuita punguani Hamas walisema kama Israel wataendelea kuzuia misaada waliokubaliana hawataendelea kuwaachia mateka baada ya mikwara huu wameachia misaada na hizo mashine walikuwa hawataki ziingie Gaza.
Soma hii wewe punguani.Punguani ni wewe ambaye ulituambia kuwa Israel imezuia kumpeleka misaada ya vyakula wewe leo hii unajificha kwenye magreder!! Au hiyo ndiyo Taqiya? Sema ukweli tu kuwa Hamas Wameufyata baada ya kupigwa na Mkwara wa Netanyahu!!