Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Hamas kusitisha makubaliano kuachiliwa mateka kutokana wa Israel kushindwa kutimiza makubaliano

Bora niwe na umri mdogo ambao unaniwezesha kuelewa kuliko kuwa kubwa jinga kama wewe ambaye unafikiri Israel imeanza 1948 wakati hilo jina lipo kwenye kitabu chako cha Imani ambacho kina miaka zaidi ya 1000.
Wewe ni bure ndo maana kila siku kukopy twitter za watu wanaotafuta hela kwenye mitandao na umekuwa msukule wa kuwasaidia kusambaza twitter zao wapate hela kwa sababu ya ukubwa jinga wako.

Yaani hao ndugu zako wameweza kumshikilia mtu mwenye ugonjwa wa akili kwa miaka 10 na bado unawaita wapigania uhuru. Kubwa jinga kabisa wewe.
Uharo mtupu.
 
Back
Top Bottom