Rais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."
Weka clip mkuuRais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."
Ni kitu cha kushangilia mkuu? Retaliation baadae ?Mtoa mada vipi kule Haifa nadhani bado umelala Al Houth alichafua camp ya jeshi nasikia kondoo wengi wamekufa.
Kule Gaza pia ni vile vile Hamas kawauwa wengi sana kondoo.
kuomba clip hakuhusiani na kukataa hoja iliyo mezani, wala haimaanishi kuikubali hoja iliyo mezani mkuu,Hii huamini kuwa Hamas ni wana wa Mbwa??
Duh wazungu Wana matusi sanaRais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."
Mada inasema HAMAS NI WANA WA MBWA!! Mambo houth na kondoo wapi na wapi.?Mtoa mada vipi kule Haifa nadhani bado umelala Al Houth alichafua camp ya jeshi nasikia kondoo wengi wamekufa.
Kule Gaza pia ni vile vile Hamas kawauwa wengi sana kondoo.
We unajua Israel na USA wanathamini mbwa kuliko huyo Abas kwa hio Bora uitwe mbwa kuliko kuitwa kibaraka au mtumwa kwenye dictionary π π π€£Mada inasema HAMAS NI WANA WA MBWA!! Mambo houth na kondoo wapi na wapi.?
Duh, Wana matusi aiseHuyo si Mzungu ni Mwarabu mwenzao!!
Kwa hiyo wapalestina wanaokufa hawana thamani??Huyo nani anamsikiliza kibaraka wa US.
Hakuna kutoa mateka siwalijidai watawawakoa kwa nguvu wacha wawaokoe kwa nguvu.
Hamas ni wana wa Mbwa tu kama mwarabu mwenzao kasema hivyo sisi Wamatumbi tuseme nini?We unajua Israel na USA wanathamini mbwa kuliko huyo Abas kwa hio Bora uitwe mbwa kuliko kuitwa kibaraka au mtumwa kwenye dictionary π π π€£
Israel=Mtumwa wa USA
Abas=Kibaraka wa USA
Sa we hauta kufa? Nani aliye kuambia kufa ndio basi kuna maisha kaburini we msubiri Yesu mpaa arudi kama mnavyo ota.Kwa hiyo wapalestina wanaokufa hawana thamani??