Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Mtoa mada vipi kule Haifa nadhani bado umelala Al Houth alichafua camp ya jeshi nasikia kondoo wengi wamekufa.
Kule Gaza pia ni vile vile Hamas kawauwa wengi sana kondoo.
View: https://youtu.be/QbttlYxvtVA?si=Q6RLM9U98NITv3Yu
Mpumbavu mkubwa...Kauli kama hizi ndio zinawakost watoto wasio na hatia na wanawake ambao ndio mnawafanya kama mwamvuli Yani magaidi wenzako wanaona kufa na wamama na watoto ndio jambo la maana sana