Mpumbavu mkubwa...Kauli kama hizi ndio zinawakost watoto wasio na hatia na wanawake ambao ndio mnawafanya kama mwamvuli Yani magaidi wenzako wanaona kufa na wamama na watoto ndio jambo la maana sanaMtoa mada vipi kule Haifa nadhani bado umelala Al Houth alichafua camp ya jeshi nasikia kondoo wengi wamekufa.
Kule Gaza pia ni vile vile Hamas kawauwa wengi sana kondoo.
View: https://youtu.be/QbttlYxvtVA?si=Q6RLM9U98NITv3Yu
Kumbe na wewe ni mmoja wao sababu alisha muita USA ambassador kule Israel mtoto wambwa na wanaye support USA/Israel ni watoto wa mbwa tu 😄Watoto wa mbwa duuuh hili tusi
We kilaza wachana na maneno ya vijiweni Israel ni waongo sana hata juzi yule alikuwa waziri wajeshi wao kakiri kama hakuna tunnel ya uwongo walio shika pale kutoka Rafah kwenda Egypt yote ile ilikuwa ni uwongo tu. Kama vile wanavyo dai Hamas wanajificha kwenye majumba yote ni uwongo.Mpumbavu mkubwa...Kauli kama hizi ndio zinawakost watoto wasio na hatia na wanawake ambao ndio mnawafanya kama mwamvuli Yani magaidi wenzako wanaona kufa na wamama na watoto ndio jambo la maana sana
PoleAbbas is an Idiot and a western Puppet. The Palestinian Authority does not represent Palestinians. Hamas is a much better representation of Palestine
Kweli Hamas na wanaowaunga mkono ni wana wa mbwa kabisa!!!We kilaza wachana na maneno ya vijiweni Israel ni waongo sana hata juzi yule alikuwa waziri wajeshi wao kakiri kama hakuna tunnel ya uwongo walio shika pale kutoka Rafah kwenda Egypt yote ile ilikuwa ni uwongo tu. Kama vile wanavyo dai Hamas wanajificha kwenye majumba yote ni uwongo.
Endelea kuimba nyimbo za kanisani afu ukichoka kalale, na usisahau tafuta wa kukupa kinyonyo.
Mahmud Abbas, ni bahati mbaya kuwa na cheo kisicho na mamlaka, hamas wameshikilia kila kitu!Rais wa Mamlaka ya Palestina atoa kauli isiyo ya kawaida: "Hamas, nyinyi wana wa mbwa, wapeni mateka watuondoleeni tatizo hili."
Mwenyekiti wa Mamlaka ya Palestina Abbas alitoa taarifa kwa vyombo vya habari, akihutubia Hamas: "Wana mbwa, wakabidhini mateka na tuondoleeni tatizo hili." Pia ametoa wito kwa shirika hilo la kigaidi: "Peana silaha zako kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na uwe chama cha kisiasa tu."
Siyo kweli!!!. Malamud Abbas yeye yuko West-Bank (JUDEA & SAMARIA) anatawala huko na vibaka wa Hamas wako Gaza nao walikuwa wanatawala huko.Mahmud Abbas, ni bahati mbaya kuwa na cheo kisicho na mamlaka, hamas wameshikilia kila kitu!
We kondoo ulio potea kelele zenu haziwezi kuwapa ushindi na huyo aliye waita Hamas mbwa atajuta maisha yake time itaongea.Kweli Hamas na wanaowaunga mkono ni wana wa mbwa kabisa!!!
Huyo hakuna hata mpalestina ana mheshimu isipo kuwa wale pro western au mapuppets kama yeyeMahmud Abbas, ni bahati mbaya kuwa na cheo kisicho na mamlaka, hamas wameshikilia kila kitu!
Rais wa magazeti na tv za westernWatamfanya nini wakati ni rais wao? Anawajua vyema kuwa hao ni wana wa Mbwa!!!
Wewe uko Gaza sehemu gani?Huyo nani anamsikiliza kibaraka wa US.
Hakuna kutoa mateka siwalijidai watawawakoa kwa nguvu wacha wawaokoe kwa nguvu.
Dini ya Allah kwanza,busara na hekima badaeNi kitu cha kushangilia mkuu? Retaliation baadae ?
Mimi nipo Arusha nakula nyama za kuchoma afu pembeni nimewekewa kachumberiWewe uko Gaza sehemu gani?
Wale mashehe wa ugaidi walisha achiwa hapo Arusha?Mimi nipo Arusha nakula nyama za kuchoma afu pembeni nimewekewa kachumberi
Acha uongo wako huyo ni rais kachaguliwa na wananchi wa mamlaka palestina huyo ndiye anawajua sana watu wake kuwa ni Watoto wa mbwa. Nakushangaa wewe Mmatumbi mwenzangu unashupaza fuvu la kichwa.Huyo hakuna hata mpalestina ana mheshimu isipo kuwa wale pro western au mapuppets kama yeye
Rais wa magazeti na tv za western
HApana mkuu shida hapo sio dini, ni maarifa machache tu ya mtu binafsi,Dini ya Allah kwanza,busara na hekima badae