cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
- Thread starter
- #61
Makafiri wawe upande wa waislamu kweli!
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 2:120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Wanajua kama israel hayupo kihalali pale, na wao/uingereza ndio wamewapeleka pale, na wana makusudio yao. Kwanini wasiwaache wakabakia huko huko uingereza n.k! na badala yake wamewapeleka ardhi ya waislamu! Hujiulizi kwanini!!
Just simple question....Mwingereza alipowaleta nani alikuwa kiongozi/ Utawala gani wa Wapelestina ulikuwepo hapo?