HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

Hivi umejiuliza haya?
1. Pesa za kuchimba na kujenga njia za chini zenye urefu sawa na umbali kutoka dar hadi moshi wametoa wapi pesa ndefu kiasi hicho?

2. Hizi silaha nyingi na za kisasa wanapata wapi?

3. Chakula cha kuwatosha muda mrefu chini ya ardhi wametoa wapi?
Hayo yote nimejiuliza Mkuu, ndio maana nina wasiwasi kuwa wanaopigana vita hii huenda wakawa sio Hamas, yawezekana (probably) kuna Jeshi jingine linawasaidia au linapigana moja kwa moja.
 
Na myie Waisrael weusi wa Makete na Rombo mnaandamana wapi?
Inaonekana una ugomvi binafsi na watu wa Rombo au binti wa kirombo aliuvunja vunja moyo wako maana kila comment lazima uwataje[emoji4]
 
Tunahitaji palestina wapate haki yao ila hatupo upande wa Magaidi HAMAS..

Free Palestine and Destroy HAMAS
 
Wana muda gani wa kuhesabu wanaishi mashimoni kama panya?
Wewe Dada Yahudi wa Mwamposa hujui kitu,nenda Fesibuku ukaendelee ku like mitindo ya madela na style za nywele,hii thd ni ya kianaume,Hamas hapigani na Israel bali anapigana na USA na washirika wake,unapigana na Hamas ambao wamefungiwa mipaka miaka kibao ila unashindwa na kuomba msaada USA?

Hili ndio taifa teule? hawa ndio mliokua mnawasifia miaka na miaka? najua unasapoti Israel coz huko wamejaa LGBTQ wanatatuzna malinda.
 
Itaendelea mpaka pale utawala wa kigaidi wa hamas utapofurushwa hapo Gaza.
Wewe mpuuzi Hamas ni resistsnce group wanao resist ardhi yao kuchukuliwa na Gaza kufungiwa mipaka,nani mwenye mamlaka yakubrand wenzake kua ni magaidi? vigezo gani hutumika? hao unaowashobokea wameua watu Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko ndio magaidi.
 
We kibibi nae tunaongelea jeshi linatoa kichapo huko we unatuletea story za kobazi wala urojo toka makunduchi,
Hao wakirudiwa ni usiku mmoja tu wataomba kabisa waende kuolewa huko US au Israel.
Kwa vile wewe umeolewa ndio unadhani kila mtu anawaza kuolewa? kwenda Kafiri mmoja wewe.
 
Hivi umejiuliza haya?
1. Pesa za kuchimba na kujenga njia za chini zenye urefu sawa na umbali kutoka dar hadi moshi wametoa wapi pesa ndefu kiasi hicho?

2. Hizi silaha nyingi na za kisasa wanapata wapi?

3. Chakula cha kuwatosha muda mrefu chini ya ardhi wametoa wapi?
Endelea tu kujiuliza hayo maswali ya kipumbavu coz upo kwa shemeji yako hapo miaka na miaka unagombania remote na watoto wa Dada yako ndio maana kila kitu unaona ni kigumu kufanyika.
 
Hayo yote nimejiuliza Mkuu, ndio maana nina wasiwasi kuwa wanaopigana vita hii huenda wakawa sio Hamas, yawezekana (probably) kuna Jeshi jingine linawasaidia au linapigana moja kwa moja.
Hamas wapo peke yao ila Israel ndio yupo na USA na mataifa kama matano ya Europe,kichapo chao hamkukitegemea ndio maana mnakua kama vile hamuamini.
 
Wanaukumbi.

-----

136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance

Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions:

We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation.

Our Mujahideen destroy vehicles and cause many deaths and injuries in the ranks of the enemy.

In the next few minutes, we will show a corner of the greatness of our Mujahideen and their battle with the enemy in the buildings and the hunting of tanks and their destruction.

These actions are only the tip of the iceberg that our mujahids do.

Hamas fighters continue to burn Israeli equipment.

The tactics are still the same, Adidas T-shirt + RPG

Hamas demonstrates fresh footage of the destruction of Israeli armored vehicles in urban areas of Gaza.

View attachment 2808194
Hiyo video ukweli wake umekubaliwa na Aljazeera ambao jana walionesha sehemu yake.
 
Mtoa mada umeishia darasa la ngapi?
Jamiiforum imebeba wendawazimu Sana
Jadili mada,elimu yake ndio itaondoa umasikini wa ukoo wako? wewe mwenye elimu unafanya nini kwenye mada ya mtu asiye na elimu? ndio nyie mnaoaminishwa kua darasani ndio kila kitu,Dunia inabadilika toka usingizini.
 
Mpaka hii leo hesabu ya waliokufa na majeruhi inayotolewa na vyombo vya habari ni ile inayotolewa na Hamas.
Muongo mkubwa, Hamas wako mashimoni, hiyo kazi inafanywa na msalaba mwekundu na wana habari
 
Back
Top Bottom