HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

HAMAS: Tumeharibu kabisa kwa kiasi magari 136 ya jeshi la adui na kuwazuia kuendelea na operesheni

Muongo mkubwa, Hamas wako mashimoni, hiyo kazi inafanywa na msalaba mwekundu na wana habari
Hebu angalia ule ukanda wa chini unaotoa vichwa vya habari muhimu wa Aljazeera siku zote wanataja wizara ya afya ya Gaza ambayo ni wizara ya afya ya Hamas.
Hamas wapo bado na wanaendelea na vita.
 
We kibibi nae tunaongelea jeshi linatoa kichapo huko we unatuletea story za kobazi wala urojo toka makunduchi,
Hao wakirudiwa ni usiku mmoja tu wataomba kabisa waende kuolewa huko US au Israel.
Wewe umeolewa huko? Au bado unatafuta mume?
 
Wewe mpuuzi Hamas ni resistsnce group wanao resist ardhi yao kuchukuliwa na Gaza kufungiwa mipaka,nani mwenye mamlaka yakubrand wenzake kua ni magaidi? vigezo gani hutumika? hao unaowashobokea wameua watu Afghanistan,Iraq,Libya na kwingineko ndio magaidi.
Resistance group ya kubaka wanawake, kuchinja na kuchoma watoto.
Hao ni magaidi kama isis, alqaeda, boko haram nk.
Washughulikiwe kama yale magadi yaliyochinja watu kule kibiti na mkuranga.

Free Palestine from Hamas terror
 
Huu uharo unaaondika humu ndiyo ukweli.
ndio ukweli huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ingawa kwako ni ngumu kumeza shehe,pole kwa maumivu,kama vipi jiue ukawahi bikra 72
 
Achana na habari za kusikia..wenzenu wanabinywa kende uko
Wewe unataka habari gani? Angalia hapa hii video mabwana zenu wanakusanya maiti.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    3.5 MB
ndio ukweli huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]ingawa kwako ni ngumu kumeza shehe,pole kwa maumivu,kama vipi jiue ukawahi bikra 72
Kajifunze kuandika kwanza kisha rudi JF au unatumia simu gani Tecno? Maana unachoandika ni uharo.
 
Kajifunze kuandika kwanza kisha rudi JF au unatumia simu gani Tecno? Maana unachoandika ni uharo.
Sasa kama umesoma madrasa Toka ukiwa mtoto,huwezi kuelewa nilichoandika,walaumu mashekhe wako kwa ujinga wako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Resistance group ya kubaka wanawake, kuchinja na kuchoma watoto.
Hao ni magaidi kama isis, alqaeda, boko haram nk.
Free Palestine from Hamas terror
Akili yako imetawaliwa na propaganda za western media,

Leta ushahidi wa Hamas kubaka hao dada zako,akili za kuambiwa changanya na za kwako,hao unao wa abudu wali ombwa ushahidi wakawa hawana mpaka leo.
 
Ushahidi upo wazi. Kwanza hamas walijirecord wenyewe wakiimba allahu akbar Huku wakifanya unyama na jinai ya kubaka na kuchinja wanawake na watoto.
Sasa sijui allah ndio aliowatuma ama?
 
Back
Top Bottom