HAMAS: Tumewaangamiza askari 36 wa Kizayuni katika saa 72 zilizopita

HAMAS: Tumewaangamiza askari 36 wa Kizayuni katika saa 72 zilizopita

Hata mkiwaua msitangaze maana mtawatia hasira na kuanza kulipizia Kwa kulipua watoto, wagonjwa na wanafunzi
Hio kawaida yao tokea mwaka 1948 kwahio waendelee tu kufanya hakuna jipya hapo
Hamas kundi teule
 
Attachments

  • 1702306447520.jpg
    1702306447520.jpg
    78.2 KB · Views: 1
Mkuu elewa hivi Israel wanaangusha majumba ya raia na kuua raia zaidi, HAMAS walijiandaa hawabahatishi hili ni pigo kubwa Mazayuni na ndio mwisho wa taifa la kupanga la hawa mayahudi
Kwenye majumba hayo ndipo wanapojificha hao magaidi na kwa nini wasiende Israel wakapigane kukomboa ardhi wanayodai waliporwa, waoga wakubwa hao kazi kujificha tu kwa raia. Bure kabisa.
 
Hata mkiwaua msitangaze maana mtawatia hasira na kuanza kulipizia Kwa kulipua watoto, wagonjwa na wanafunzi
Haiwasaidii kitu maana lengo la hamas ni kuwapa israel sleepless nights na wamefanikiwa kwa hilo miaka yote hawana amani hadi watu wanaogopa kwenda israel si unaona vijana wetu wa tz wameenda wamepoteza maisha sasa nchi gani hiyo
 
Kwenye majumba hayo ndipo wanapojificha hao magaidi na kwa nini wasiende Israel wakapigane kukomboa ardhi wanayodai waliporwa, waoga wakubwa hao kazi kujificha tu kwa raia. Bure kabisa.
Ivi una habari mateka wa Israel ndani ya mahandaki ya Hamas? Israel wamekataa kubadilishana watoe wafungwa wa Kipalestina wakabidhiwe maiti zao za wanajeshi wa IDF waliouliwa wa kiyahudi
 
Israel lazma atafika mahali atatumia silaha za sumu na hili haliepukiki..
Kwakweli maana kakaliwa kooni kwel kweli na majamaa
Ila hata atumie nini hatakaa aifute hamas hata siku moja hilo wasahau
Kumbe kaishatumia tayar white phosphorus Flano kanikumbusha hapo juuu
Kilichobakia ni atumie tu atomic bomb tu hakuna namna
 
Hamas wakifa ni faida kwao maana wanaenda kufaidi bikira 72 wenye macho kama vikombe huko kwenye pepo ya allah.

Bila kusahau Heineken za huko ni tamu kuliko za duniani
Na kiuno Kama nyigu, Makalio uji uji ft.40, na vijana wa KUUME walivaa hariri Dhakari haita sinyaa,.....
Ref!; Suratul Jannat!
muhammad atamuoa mama YAKE Yesu na mke wa Firauni
 
Kwakweli maana kakaliwa kooni kwel kweli na majamaa
Ila hata atumie nini hatakaa aifute hamas hata siku moja hilo wasahau
Kumbe kaishatumia tayar white phosphorus Flano kanikumbusha hapo juuu
Kilichobakia ni atumie tu atomic bomb tu hakuna namna
HAMAS ni ideolog ni vigumu sana hili kundi kulimaliza japo watakufa watu wengi
 
Back
Top Bottom