Hamas: Viongozi wetu wapo majumbani, vitani sio hospitali

Sasa israel ikisema wako mahospitalini si ni kama anawaambia wahame ili waue wagonjwa na wasindikizaji wao?

Labda walipue kwanza ndio waseme walikuwa humo. Maana ukisema wanahamia sehemu nyingine maana wanajua umejua na utalipua hapo mahala.
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wanajeshi wengi waliuawa na wengine kukimbia kurudi Israel na ndio maana wamezima mtandao ili picha za wanajeshi wake walio kufa zisisambae kwenye mitandao ya kijamii.
Ngoja nifatilie icho kipigo cha Jana.
Picha lzm zivuje tu awawez kosa njia.
 
Anatoa kipondo kwa watoto na wanawake na sio kwa wanaume wenzao wa Hamas.

Waulize jana walipo ingia gaza nn walicho kutana nacho.
watanaswa tu washenzi hao wanaojificha kwa watoto na wanawake
 
Pole sana
 
Sasa kilicho fanya wazime internet ni kitu gan
suala kuzima internet ni la kawaida hata hapa wakati fulani wa uchaguzi mkuu walizima mpaka watu wakarukia vpn. Ni mbinu za kumpoteza maboya adui asiweze kuwasiliana
 


itakuwa kipigo kitakatifu mpaka leo wanatuambia tususe kutumia vitu vya myahudi.
 
suala kuzima internet ni la kawaida hata hapa wakati fulani wa uchaguzi mkuu walizima mpaka watu wakarukia vpn. Ni mbinu za kumpoteza maboya adui asiweze kuwasiliana
Unanichekesha sana eti kuzuia adui kuwasliana, aliye kwambia Hamas anategemea mtandao kuwasliana ni nani?

Hamas wanatumia redio za upepo kuwasiliana ,ww sema tu kuwa imezima mitandao ili kuficha madhaifu ya jeshi lao hasa kuzuia picha maiti za wanajeshi wake zisisambazwe kwenye mitandao ya kijamii ili wao ndo wawe watoa taarifa wakuu za propaganda.
 
Kwa hiyo kazima Internet ili tusione jinsi anavyo pata kipondo hata hivyo hilo ana jisumbua tu habari tutazipata.
Hahaaa!! Sawa atakayezidiwa tutasikia hakuna kulia lia kutafuta huruma kwa watu!!
 
Daaa!! Yaani kwa akili yako kabisa unasema eti HAMAS anatumia simu za upepo? Kipi kina usalama kidogo kati ya kutumia simu za kutumia minara au za satellite? Sasa mbona Wapalestina ndio kila wakati wanaonyesha miili ya watoto wadogo waliouliwa?? Hamasi ndio waonyeshe miili ya wanajeshi wa IDF wanaowaua.
 
Vita kitu kingine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…