Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Picha akiwa captive iko wap?Katekwa huyo aibu tu. Juzi tu alikuwa anatamba mbele za wanajeshi wake 😄
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha akiwa captive iko wap?Katekwa huyo aibu tu. Juzi tu alikuwa anatamba mbele za wanajeshi wake 😄
.
🤣🤣🤣🤣🤣Sasa israel ikisema wako mahospitalini si ni kama anawaambia wahame ili waue wagonjwa na wasindikizaji wao?
Labda walipue kwanza ndio waseme walikuwa humo. Maana ukisema wanahamia sehemu nyingine maana wanajua umejua na utalipua hapo mahala.
Ngoja nifatilie icho kipigo cha Jana.Wanajeshi wengi waliuawa na wengine kukimbia kurudi Israel na ndio maana wamezima mtandao ili picha za wanajeshi wake walio kufa zisisambae kwenye mitandao ya kijamii.
watanaswa tu washenzi hao wanaojificha kwa watoto na wanawakeAnatoa kipondo kwa watoto na wanawake na sio kwa wanaume wenzao wa Hamas.
Waulize jana walipo ingia gaza nn walicho kutana nacho.
Sasa mtawanasaje hali ya kuwa kila mkijaribu kuingia gaza mna haribiwa?watanaswa tu washenzi hao wanaojificha kwa watoto na wanawake
tulia oune kichapo heavy watakachokipata muda si mrefuSasa mtawanasaje hali ya kuwa kila mkijaribu kuingia gaza mna haribiwa?
Sasa kilicho fanya wazime internet ni kitu gantulia oune kichapo heavy watakachokipata muda si mrefu
Pole sanawape mwezi mmoja tuone kama wataendelea kutoa matamko. sasaivi gaza hakuna umeme, hakuna internet hakuna simu kipigo kinaenda kimyakimya, israel akiumia hatutajua, hamas wakiumia hatutajua, na wato hayo matamko yao ya vitisho hawatayatoa tena kwasababu simu zao zitazima charge muda si mrefu.chakula kitaisha, mafuta ya magari yataisha, silaha zitaisha na watakamatwa kama panya.
Endelea kutumia dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili utapona ukiziwacha utarudishwa tena Mirembembona magaidi wanapenda kuficha sura au mnyazimungu wao ndo kawambia hivyoo?
suala kuzima internet ni la kawaida hata hapa wakati fulani wa uchaguzi mkuu walizima mpaka watu wakarukia vpn. Ni mbinu za kumpoteza maboya adui asiweze kuwasilianaSasa kilicho fanya wazime internet ni kitu gan
We wambie Israel watuonyeshe kwenye tv yao anakanusha hajatekwa, huyo ni Abou Obeida Hamasi spokesman hasemi uwongo huyo si Natanyahau au Biden.Picha akiwa captive iko wap?
huko kwenye mafuta na majenereta ndiko mabomu yanakodondoka. tuamini basi kwamba watakuwa salama. bomu likidondoshwa karibu na petrol au motor zenye umeme nadhan unajua madhara yake. jana usiku wameingia ground inversion, tusubiri siku mbili tatu tuone matokeo. ofcourse leo hawatapiga sana kwasababu ni sabato wengi wameenda kusali na hata kule vitani wanasali ila kesho na kuendelea, tutegemee makubwa. jana tu usiku al jazeera wanasema kichapo kilikuwa kibaya kuliko vyoote vilivyotokea katika mzozo huu, sasa kama majuzi na siku zengine walikuwa wamepigwa vile, icho cha jana hadi kiwe kibaya kuliko vyote kitakuwa cha aina gani?
Endelea kutumia dawa zako za huo ugonjwa wako wa akili utapona ukiziwacha utarudishwa tena Mirembe
Unanichekesha sana eti kuzuia adui kuwasliana, aliye kwambia Hamas anategemea mtandao kuwasliana ni nani?suala kuzima internet ni la kawaida hata hapa wakati fulani wa uchaguzi mkuu walizima mpaka watu wakarukia vpn. Ni mbinu za kumpoteza maboya adui asiweze kuwasiliana
Hahaaa!! Sawa atakayezidiwa tutasikia hakuna kulia lia kutafuta huruma kwa watu!!Kwa hiyo kazima Internet ili tusione jinsi anavyo pata kipondo hata hivyo hilo ana jisumbua tu habari tutazipata.
Daaa!! Yaani kwa akili yako kabisa unasema eti HAMAS anatumia simu za upepo? Kipi kina usalama kidogo kati ya kutumia simu za kutumia minara au za satellite? Sasa mbona Wapalestina ndio kila wakati wanaonyesha miili ya watoto wadogo waliouliwa?? Hamasi ndio waonyeshe miili ya wanajeshi wa IDF wanaowaua.Unanichekesha sana eti kuzuia adui kuwasliana, aliye kwambia Hamas anategemea mtandao kuwasliana ni nani?
Hamas wanatumia redio za upepo kuwasiliana ,ww sema tu kuwa imezima mitandao ili kuficha madhaifu ya jeshi lao hasa kuzuia picha maiti za wanajeshi wake zisisambazwe kwenye mitandao ya kijamii ili wao ndo wawe watoa taarifa wakuu za propaganda.
Vita kitu kingine kabisa.Hamas: kumekucha Viongozi wetu wapo majumbani mwao, na si mahospitalini.
Wanapanga mikakati ya kuwamaliza Israel.
Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema madai ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa harakati hiyo wapo katika njia za chini ya ardhi ya hospitali ya Al -Shifa katika Ukanda wa Ghaza ni ya upotoshaji.
Msemaji wa jeshi la utawala ghasibu wa Kizayuni amedai kuwa viongozi wa Hamas wapo katika njia za chini ya chini ya ardhi ya hospitali ya Al Shifa huko Ghaza.
Msemaji wa Hamas amejibu madai hayo ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa Hamas wapo katika njia za chini ya ardhi katika hospitali huko Ghaza kwa kusisitiza kuwa: Adui Mzayuni kwa kutoa madai haya anajaribu kuinua ari ya jeshi lake kwa kutoa simulizi hizo za uwongo.
Msemaji wa Hamas ameongeza kusema kuwa: Madai haya ni ya upotoshaji na ya uwongo. Viongozi wote wa Hamas wapo maumbani mwao na si mahospitalini. Msemaji wa Hamas amebainisha kuwa: Utawala ghasibu wa Kizayuni unawashambulia kwa mabomu watoto na wanawake, na muqawama unaendelea kuongoza vita kwa nguvu zote.
Afisa huyo wa Palestina ameongeza kuwa: Jeshi la Kizayuni linashambulia miundombinu ya Ukanda wa Ghaza khususan nyumba na hospitali.
Inaonekana kuwa utawala wa Kizayuni kwa kutoa madai haya yasiyo na msingi unataka kukariri jinai ya al-Maamadani katika hospitali ya Al-Shifa.
Tarehe 17 Oktoba Wapalestina zaidi ya 500 waliuawa shahidi katika shambulio la bomu la utawala wa Kizayuni katika hospitali ya Al-Maamadani huko Ghaza; ambapo kwa mujibu wa baadhi ya vyanzo vya habari, idadi ya watu waliouawa inafika 1,000.
View attachment 2795418