Hahahaha unajiliwaza Israel kila saa anakiimbilia Qatar wawambeleze Hamas wasibadili maamuzi unadhani Hamas anafanya hivi kuonyesha dunia alikuwa anaweza kupiga risasi wote, hii jana Israel watu wanalia na Waziri Mkuu hapo mbele ya makazi yake hawamtaki wewe Muisrael mweusi wa Chanika povu linakutoka.hamas keshawatapika hostages wengine agome unafikiri ni rahisi sana ehhh na IDF alishasema magaidi hamas wangeendelea kugoma kuwatapika ikifika 21.00 hrs Israel time kichapo kingeendelea.
Kuteka raia ndio uanaume?Hamas hakika ni wanaume wa shoka Wallah.Bravo HAMAS mmeudhihirishia ulimwengu kuwa nyie ni wanaume wa shoka
Nadhani hatorudia tena Kufanya fujo dhidi ya watu wa Kitabu according to Koran asome vizuriBREAKING: CHILD HOSTAGE YASER ZAAMIYEH FREED AND SPEAKS OUT
Zaamiyeh was jailed at 16 and said;
The prison administration was horrible.
They treated us violently. They've beaten up a lot of people, some of them died in their own [Israeli guards'] hands.
Some people's heads were split open in our section of the prison, little children - 10 years old, 12 years old - are being treated with extreme violence.”
He said that they are fed dry rice, and are kept in freezing temperatures that prevent them from being able to sleep for more than a few hours a day
BREAKING: MTOTO WA KIKRISTO WA PALESTINA AFUNGULIWA ATOA MAHOJIANO KUHUSU UDHALILISHAJI KUTOKA KWA ISRAELITakataka tu
Ishakuwa TENA ni WEMA kufanya Biashara Kati ya wahalifu Walio magerezani Kwa Makosa yao na watu wasio na hatia ambao walikuwa kwenye Ibada yao! [emoji15][emoji12]Nzuri. Dunia yote jana imeona wema wa Hamas na ukatili wa Isreal.
Huyo ni Myahudi KTK ngozi ya AL qassam! [emoji56][emoji38][emoji38][emoji599][emoji1193] Al Qassam's Abu Obeida last month:
"The era of selling illusions to the world about the myth of the invincible army, the invulnerable Merkava tank, and alleged military and intelligence superiority has ended after we shattered it in front of the world in the ‘Gaza envelope’ and all of Palestine.
The era of Zionism’s decline has begun, and the curse of the eighth decade will befall them."
Wanaukumbi.
[emoji1630] Kiongozi wa Hamas Osama Hamdan, katika mahojiano na Al Mayadeen:
• Kuna ukiukwaji uliofanywa na Israel katika kutekeleza usitishaji vita, baadhi ulitokea jana na ulirudiwa leo.
• Hamas waliamua kusimamisha kuachiliwa kwa kundi la 2 la wafungwa, tunawasiliana kushughulikia na kukomesha ukiukwaji huo.
• Ukiukaji unaofanywa na uvamizi huo unahusiana na suala la lori za misaada, pamoja na ufyatuaji risasi na kusababisha vifo vya Wapalestina.
[emoji1630] Hamas leader Osama Hamdan, in an interview with Al Mayadeen:
• There are violations committed by Israel in implementing the ceasefire, some occurred yesterday and were repeated today.
• Hamas decided to suspend the release of the 2nd batch of prisoners, we are in contact to address and end the violations.
• The violations committed by the occupation are related to the issue of aid trucks, in addition to shooting leading to the loss of lives among Palestinians.
MAELEZO YA KUCHELEWA KWA KUTOLEWA KWA MATEKA
Kuachiliwa kwa mateka kunaweza kuanza saa sita usiku, lakini kutokuwa na uhakika ikiwa hata leo
Wapatanishi (Wakatari, Wamisri) wakishughulikia suluhisho
Masuala muhimu: uhamisho wa misaada hadi kaskazini mwa Gaza (umekamilika) na vigezo vya kuachiliwa kwa wafungwa wa Palestina
Hamas inadai ahadi ambazo hazijatekelezwa, Israel inakanusha ukiukaji wa makubaliano
Israel inadai walikuwa tayari kwa mbinu za kuchelewesha Hamas
Maafisa wa Qatar wakijaribu kuongeza muda wa kusitisha mapigano
Mawazo yangu: mambo yanaonekana kutetereka, lakini yanaelekea katika mwelekeo sahihi.
Israeli inaonekana kuwa ngumu, hata hakika, vita vitaendelea.
Nzuri. Dunia yote jana imeona wema wa Hamas na ukatili wa Isreal.
Mimi Baba yako kuwa na heshima mpaka siku unikute napiga mswaki huku nimevaa kitenge cha bi mkubwa wako.
View attachment 2825244
View attachment 2825245
We lazima utakua mke wa kiongozi wa Hamas!! Unawashwa sana