Hamas wafanya shambulizi katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji la Rafah, kulipiza kisasi damu ya Sinwar.

Wewe punguani sana unawapangia Hamas jinsi ya kupigana dawa ya magaidi hawa wanaouwa watoto ni hii tu.
Subiri waendelee kuuawa ndipo utajua kati ya wao na wewe nani punguani, au wote. Shauri yenu mtajuana huko wenyewe
 
Hawa wajinga sana, wanavizia wanashambulia halafu wanaenda kujificha kwa wake na watoto wao. IDF ikiwafuata wanaanza kulia wanaua wanawake na watoto.

Safari hii watakufa wao na watoto wao, hakuna namna maana hata hao watoto wakikua nao watakuwa waviziaji tu.
Ubaya na Uzuri wake hata hao wa wanawake na watoto na wao pia atakufa
 
Kuna shoga linaitwa sijui Zero linafurahi hayo mauaji.
Wanatafutaje suluhu watu wanaamini kufa ni sunna, wanaenda kupokea wanawake bikra ahera. Ogopa mtu anapigana huku anawaza ngono na pombe, anawaza kuwahishwa kwenye starehe. Yuko motivated kufa
Dah inasikitisha sana. Kwanini wasitafute suluhu na maisha mengine yaendelee?
 
Wanatafutaje suluhu watu wanaamini kufa ni sunna, wanaenda kupokea wanawake bikra ahera. Ogopa mtu anapigana huku anawaza ngono na pombe, anawaza kuwahishwa kwenye starehe. Yuko motivated kufa
Mbona umesahu kumtaja Bikira Maria unataka mabikira wengine tu wakati Bikra Maria ndiyo muhimu kwa mujibu wa bandiko lako.
 
Hawa
Wewe punguani sana unawapangia Hamas jinsi ya kupigana dawa ya magaidi hawa wanaouwa watoto ni hii tu.
Hawa magaidi wa Hamas wameamua kuondoka Duniani na familia zao.
 
Ni ngumu sana kuishi na magaidi, wanapenda sana hizo mbaga za kutoana roho.
 
🤣 🤣 🤣 Kwani idf imechemka kukomboa mateka au sijaelewa umemaanisha nini idf ni best wakakomboe magaidi wao waache kuruka ruka wanadhani dt anaogopewa eeenh
Kwanini wasinyanyue tu Bendera Nyeupe kama Hezbola, na warudishe Mateka wa Israel ili Watu wao wapunzike kuuwawa.
 
Kumbe Hawa nao ni wanawake na watoto ?
Screenshot_2024-10-17-21-30-47-653_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-21-22-20-55-853_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-23-23-07-52-155_com.twitter.android.jpg
Screenshot_2024-10-25-03-53-03-268_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-23-22-20-17-835_com.twitter.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-23-00-34-56-245_com.instagram.android~2.jpg
Screenshot_2024-10-20-10-31-39-548_com.twitter.android~2.jpg
 
🤣 🤣 🤣 Kwani idf imechemka kukomboa mateka au sijaelewa umemaanisha nini idf ni best wakakomboe magaidi wao waache kuruka ruka wanadhani dt anaogopewa eeenh
Safi sana basi IDF iendelee kuwasaka Mateka na Hamas ambao wanatumia raia wao kuficha mateka kama Human Shield. Raia wakifa msilalamike.
 
Ubaya na Uzuri wake hata hao wa wanawake na watoto na wao pia atakufa
Keyboard warrior! Nenda kawasapoti ufe pamoja nao maana by any means utakufa! Thubutu! Brainwashing is so bad.
 
Waendelee tu kuwasaka hakuna shida
Kamanda mzuri ni yule anayejua reality yaani hapa nipigane nitashinda na hapa nitashindwa nifanye Dialogue lakini hao Magaidi ni Wapumbavu.
 
Kamanda mzuri ni yule anae kubali kurejesha watu kwa dialogue akiona mambo magumu ila wazayuni wajinga
 
Keyboard warrior! Nenda kawasapoti ufe pamoja nao maana by any means utakufa! Thubutu! Brainwashing is so bad.
Naona wewe upo Gaza unalinda Philadelphy corridor na wazayuni wenzako hongera sana
 
Subiri waendelee kuuawa ndipo utajua kati ya wao na wewe nani punguani, au wote. Shauri yenu mtajuana huko wenyewe
Wewe punguani upo Nyasaka hujuii lolote Waisrael wenyewe kila siku wanaandama huko watoto wao wanajeshi wakienda Gaza hawarudi.
 
Rafah! Kimji ndani ya Gaza; unajishambulia mwenyewe kwa kuvizia! These people are crazy.

Hawa wa huku kwetu waonee huruma. Hawajitambui. Wanaeleza mambo yasiyokuwepo.
Gaza na West Bank hakuna majengo yaliyosimama.
Ni vifusi tu. Halafu mtu anasema ameshinda vita?
 
Wewe punguani kweli kuvunja majengo ndiyo kushinda vita?
 
Back
Top Bottom