Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Israel imekwisha. Hamas wameshaimaliza Israel. Sisi tunasheherekea hapa Tandale kwa Mtogole kwenye Ms..... Wa Ijumaa
Israel... Wamekwisha kabisa. Vita imewashinda..... Hamas wamejificha kwenye mahandaki wakipigana na wadudu kama panya nk. Israel wapo palestine hamas wapo mashimoni. Wakiendelea kupambana.