Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mkuu dogo kasema ukweliIsrael imekwisha. Hamas wameshaimaliza Israel. Sisi tunasheherekea hapa Tandale kwa Mtogole kwenye Ms..... Wa Ijumaa
Israel... Wamekwisha kabisa. Vita imewashinda..... Hamas wamejificha kwenye mahandaki wakipigana na wadudu kama panya nk. Israel wapo palestine hamas wapo mashimoni.
View attachment 2809334
Story imeletwa kwa dhihaka ya wavaa vipedo .Atakayeelewa anieleweshe
Kazi kweli kweliStory imeletwa kwa dhihaka ya wavaa vipedo .
Hao ni Hamas baada ya kutekwa na IDF hapo wanahojiwa ndo wanaelezea matumizi ya ambulance zao na hospital ya shida Kuna Nini na Nini?
Ndo wanatoa Siri za Kambi yao ya Hamas
Ahahaaaaa, habari imetoka kwa Israel siyo!!?..Kama walivyowaaminisha wao ni taifa teule na mmeamini,poneni ujingaStory imeletwa kwa dhihaka ya wavaa vipedo .
Hao ni Hamas baada ya kutekwa na IDF hapo wanahojiwa ndo wanaelezea matumizi ya ambulance zao na hospital ya shida Kuna Nini na Nini?
Ndo wanatoa Siri za Kambi yao ya Hamas
Nami pia naomba nieleweshwe.Atakayeelewa anieleweshe
Labda lugha gonganaStory imeletwa kwa dhihaka ya wavaa vipedo .
Hao ni Hamas baada ya kutekwa na IDF hapo wanahojiwa ndo wanaelezea matumizi ya ambulance zao na hospital ya shida Kuna Nini na Nini?
Ndo wanatoa Siri za Kambi yao ya Hamas
We umeelewaje?L
Labda lugha gongana
Israel imekwisha. Hamas wameshaimaliza Israel. Sisi tunasheherekea hapa Tandale kwa Mtogole kwenye Ms..... Wa Ijumaa
Israel... Wamekwisha kabisa. Vita imewashinda..... Hamas wamejificha kwenye mahandaki wakipigana na wadudu kama panya nk. Israel wapo palestine hamas wapo mashimoni. Wakiendelea kupambana.
View attachment 2809334