Hamas wakiuka makubaliano ya kubadilishana mateka kwa kutourudisha mwili wa Shiri Bibas

Kwa urembo wake huo, huyo watakuwa hawajamuua bali wamemuoa .
 
Hawalipizi kisasi cha bibas? Vita inaleta heshima, piganeni.
 
WEwe jamaaa unashida kubwa kichwani akuna kitu umeandika ukujibiwa lkn Unapenda kujitoa Faam!!

PALESTINA mpaka inaingia kwenye Mazungumzo inafaam ISRAELI Inataka watu wake !! tangu mwanzo wa 7octb ilikuwaa ivyo

HAMAS awakutaka kumshikilia Muisrael yoyote Hamas walitaka tu kuwatumia Waisrael ili kuwakomboa Wapelestina eruf10000+ wanaoteseka uko kwa MAGAID wa Israel!!!

lkn Upumbavu wa NETANYAHU Baada ya kujazwa Upepo na IDF kuwa tunaweza kwenda kuwakomboa uko uko GAZA!!!!

Matokea yake Aibu kwa ISRAELI AIBU kwa IDF ktk MAJESH zaifu duniani IDF namba 1 ata JESH la CONGO IDF wangekimbia mbioo!!!! IDF imepata maafa makubwa sana vilema na mengine mengi!!

Kias NETANYAHU kwa Presha na mishtuko isio Isha habari Mbaya kila siku akajikuta na ugonjwa wa TEZI DUME !!!!! baada ya Tiba ile Tiba Tatanishi Akili imemrudia kuwa IDF awana uwezo wowote kupata raia wao!!!

Pesa imepigwa ya kutosha!!! NETANYAHU Ikabidi awatafute Hamas uku kachutama chini!! Nasaauti ya kuvutia akimwambia HAMAS nimekubali wewe kidume na Sasa natii matakwa yako yoyote uku kachutama

HAMAS ndio Wasemaji sasa wakamwambia sawa raia m1 wa Israel kwa Wapalestina 50 na uko mbele watadhidi iyo Idadi!!! NETANYAHU uku kachutama SAWA baby wangu

aka kamchezo tunanza lini HAMAS baada ya siku 4 NETANYAHU uku anatikisa mikono yake na saut ya chini naona km mbali siku 4 !!! shubamit mtutu aujawai ongopa zama za kurusha mawe zilikwisha apo Palestina!!!

Mlokole unadai HAMAS baada kumaliza kuwatoa ao mateka Watasagwa Akili yako na ISRAELI zinafanana lkn kumbuka kitu kikubwa ichi HAMAS walivamia kambi 4 za JESH wakachukua Wanajesh yani IDF kama mateka kambi 4 za JESH

kwaiyo ISRAELI na MAREKANI wakikiuka MKATABA huu wasasa wakaanza kuishambulia Palestina utaikumbuka hiii msg yangu HAMAS watavamia upya uko ISRAELI

na kuwakamata upya raia na Wanajesh waisrael kuwapeleka GAZA ISRAELI Jesh la Ardhini ana!!! Zaid inajesh la Anga tu!! ikiwa watu walivamia kambi 4 za JESH juwa lolote linawezekana,,, HAMAS wako makini sana,,
 
Dah! Hii inatisha sana.

Mpaka hapa sioni sababu tena yakuwaonea huruma hao Hamas. Israel inatakiwa isafishe kabisa na isiwe na hata tone ya huruma.
 
UHARO mtupu!!
 
Waarabu ndiyo waliouleta Ushoga huku kwetu!!
Mada uliyoileta watu waijadili inazungumzia hamas kukiuka makubaliano ya kubadilisha mateka ghafla umehamia kwenye ushoga?

Tena umeandika vitu ambavyo huna hata ushahidi navyo eti waarabu ndio wameleta ushoga? Unaweza kutupa ushahidi wa kihistoria waarabu ndio wameleta ushoga?

Ukileta mada hapa jamvini jikite kwenye mada kuwa na msimamo hata kama una chuki na waarabu. Komenti za kijinga na za matusi sio lazima kuzisapoti unajishushia heshima yako bure.
 
Bahati nzuri sana nimetembelea pwani yote ya Afrika Mashariki na sehemu nyingi walikopitia/walikokaa lazima utakuta makovu ya ufirauni wao anzia Malindi,Mombasa,Tanga,Bagamoyo,Zanzibar,Dar nenda pwani yote huko kusini waarabu wameharibu sana maeneo hayo kwa huo Mchezo wao!! Kwa kuwa wewe ni Mwarabu-koko unaona sawa tu!!
 
Waarab kwa kweli si watu, nashangaa huko Zanzibar mtu anakubali kufilwa na mwarab kisa dini inamruhusu. Ujinga mwingine huu shida kwa kweli.
Jamaa ukijua mungu wako uko Ulaya wanavyomfikilia na vile ana mke ana mchepuko ana mtoto ata wakusingiziwa sio poa!!!

Ngoja nisiendelee uko nisiwaumize Wenye ustaabu wao!!!
Lkn Faam USHOGA ni zao la WAZUNGU nakupa mfano uko Zanzibar kweli kuna shida kias kuusu Ushoga lkn tatizo sio Uslamu sio Mwarabu

tatizo ni WAZUNGU kujaaa pale ZANZIBAR kama ujawai fika Faam Zanzibar kuna WAZUNGU wengi sana tena awana msimu kila siku Wamejaa ndio wanaleta USHOGA

pale ata LAMU uko Mombasa pia Wamejaa Wazungu nao ndio ao Wanatualibia jamii zetu za watanzania na Kenya!!?

kwani mwarabu ayupo Shinyanga ayupo MBEYA DODOMA Mwanza mbona uko akuna Ushoga !!?? Ukidai Sababu UISLAM haaaaa!! mbona Waislam Wamejazana Lindi Rufiji Handeni Mafya mbona uko akuna shutuma za kuenea Ushoga

bado nakupa mfano ili ujue kuwa Mzungu ndio mwenye USHOGA wake angalia ulivotamalaki uko ULAYA NA MAREKANI kwa WAZUNGU sio WARAABU !!?

nakupeleka na Africa apa apa Tafuta nchi ktk AFRICA zimeruusu Ushoga utakutana na Africa kusini utakutana na Zimbabwe

chunguza izo inch kumejaa Waraabu jibu Hapana kumejaaa WAZUNGU !!?

chunguza tena ipo nchi ktk Africa inawazungu wengi lkn akuna Uĥshoga jibu ni Hapana kwanini!!??.

Je Ipo nchi ya Africa ambayo wazungu sio wengi ikaruusu USHOGA jibu ni akuna !!?

kwaiyo Kadai Sadaka yako kwa mchungaji wako kakurisha matango pori Uwongo afu ww ukamdhawadia sadaka yako uku umerishwa pumba!! Mchungaji akuitendea haki pesa yako!!!?

ilitakiwa aseme ukweli mzungu ndio mtu unatakiwa ufiche makalio asiyaone wala kuzoeyana nao awafwai Shubamit zao!!!

Wachungaji Waongo waongo

awawezi kukwambia Ukweli kumuusu mzungu!!!

Kwao mzungu kajivisha heshima milele amina Sababu ndio anafanana na Mungu wao!!!!

UJUMBE WA LEO

WEKA MBALI MAKALIO NA MZUNGU
 
Leta ushahidi
 
Jana walipewa mwili mwengine na sahivi wamesema huu wa sasa ni wa muhusika
 
Jamaa unajitahidi sana kuwasafisha waarabu na magaidi kwa ujumla lakini ujue Una fan ya kazi ambayo lazima uangukie pua maana waarabu sifa yao kubwa ni Ushoga,Ubakaji na Ugaidi huwezi kuutaja ugaidi akakosekana mwarabu kwenye Ugaidi huo!
 
Jamaa unajitahidi sana kuwasafisha waarabu na magaidi kwa ujumla lakini ujue Una fan ya kazi ambayo lazima uangukie pua maana waarabu sifa yao kubwa ni Ushoga,Ubakaji na Ugaidi huwezi kuutaja ugaidi akakosekana mwarabu kwenye Ugaidi huo!
Kama wale wanaolea watoto makanisani......mpaka msamaha ukaombwa na yule nyangumi
 
Lakini ni hao hao waisrael na wayahudi ndio wa kwanza kuwa wakristo na wakwanza kueneza ukristo. UNABISHA?

Ndio maana TUNAWAPENDA.

JESUS and ISRAEL First.

JESUS and ISRAEL FOREVER.
Roma Italy ndiko mwenye huo ukafiri ulipo anzia
 
Roma Italy ndiko mwenye huo ukafiri ulipo anzia
Yohana, petro, mwamba paulo, suzana, maria magdalena, james, stephano, mathayo wote hao wayahudi wakristo wa kwanza ispokuwa Filipo tu ndiye alikuwa siyo myahudi myunani mgiriki.

Upo hapo mkuu?!

KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NA KUABUDU

JESUS AND ISRAEL FIRST

JESUS AND ISRAEL FOREVER

IF YOU DON'T LOVE JESUS WHO THE FAKIN HELL WILL YOU LOVE

GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT


Malaria 2

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…