Hamas wakiuka makubaliano ya kubadilishana mateka kwa kutourudisha mwili wa Shiri Bibas

Muanzilishi ukristo Una mjua au unaongoea tu
 
Jamaa unajitahidi sana kuwasafisha waarabu na magaidi kwa ujumla lakini ujue Una fan ya kazi ambayo lazima uangukie pua maana waarabu sifa yao kubwa ni Ushoga,Ubakaji na Ugaidi huwezi kuutaja ugaidi akakosekana mwarabu kwenye Ugaidi huo!
Mtu yoyote akipigania Haki yake kwa Mzungu alioporwa yeye Umwita GAIDI!!!! ushahidi huuu mzee wetu Nelson Mandela RIP alibebeshwa jina la Ugaidi lkn Mapambano ayakusita!!!

yani wazungu walitaka wauwe weusi Wapige wapendavyo!!! lkn Mtu mweusi asijibu ata jiwe!!! Akijibu uyo GAID!!!!!

Ivyo ivyo na mwarabu na muislam WAZUNGU wamepeleka vita kwao yani kwa Waislam Afghanistan IRAQ LIBYA SOMALIA PALESTINA sasa Wameuwa Waislam na Waraabu wasio na idadi!! Si chini ya milion 2

tuwe Wakweli Dunia tunapita tu!!!! Sasa Mwarabu + muislam niliwai Sema ni tofaut na JAMII zengine

mfano VIETNAM, WAZUNGU Wamewauwa milioni 3 wakiwemo Watoto Wachanga Wamama Wakaka Wababa Wababu adi kesho Familia za Wafu zimenyuti kimya Ata jiwe kumtupia MZUNGU mitaani uko Vietnam akuna!!!!!

Muislam anamiongozo yake na mwafrika Kitabia anafanana na Waarabu umuuwe mzazi wake afu unitishe na neno lako GAIDI mkononi nina mtutu sio mawe lazima utacheka tu!!!

IDF Wamezikwa kibao unapigana na mtoto Mamake mlimuua babake pia afu unibanie pua ww GAIDI !!!!!

HAMAS Wakawavuta mitaani kwao GAZA ndugu IDF WAMEPUKUTISHWA AIBU Netanyahu kakoma yule apeleki tena JESH Gaza watatumia ndege tu!!!

Mitaa ya GAZA sio SALAMA ivi sasa vijana wanajifunza Shabaa akukosi kichwani kamuweka Mamake kauwawa!!!! Yatu macho sasaivi wameuwa watu 60000!!!

sasa Wajichanganye tena GAZA ndio mana NETANYAHU akazuiya MEDIA alaka isitoe Habari yoyote kuusu kifo au chochote kinachousu Vita na HAMAS. Netanyahu kawai kuficha nyeti za kuku!!!! WAZUNGU NDIO MIGAIDI OG
 
UHARO mtupu
 
Nani aliyekuambia sina ushahidi mnafanya uchafu wenu mpaka kwenye Nyumba zenu za IBADA!! Waarabu ndizo sifa zao hizo wewe unawatetea tu kwa sababu wewe ni mwislamu mwezao!! Kwa hiyo usitufanye sisi hatujui ushenzi wenu mnaoufanya!!!
 

Attachments

  • v09044g40000cuq3e7nog65h3f6na390.mp4
    5.4 MB
Huna taarifa sahihi, tafuta taarifa sahihi then uje mimi nipo na international forum hili ndio jukwaa langu naishi hapa, tu usipate kiwewe nenda urudi
 
Duu kazi kweli kweli
 
Nani aliyekuambia sina ushahidi mnafanya uchafu wenu mpaka kwenye Nyumba zenu za IBADA!! Waarabu ndizo sifa zao hizo wewe unawatetea tu kwa sababu wewe ni mwislamu mwezao!! Kwa hiyo usitufanye sisi hatujui ushenzi wenu mnaoufanya!!!
Leta ushahidi mimi ni muislamu???
 
Huna taarifa sahihi, tafuta taarifa sahihi then uje mimi nipo na international forum hili ndio jukwaa langu naishi hapa, tu usipate kiwewe nenda urudi
Nina taarifa sahihi wewe ndiyo huna unabwabwaja tu??
 
Nina taarifa sahihi wewe ndiyo huna unabwabwaja tu??
Taarifa za middle East Hakuna mtu humu anaweza kunidanganya au kunichenga kwa chochote nazifuatulia 24/7 kwa kua we have common interest ambayo ni Islam wewe nimesoma ulichoandika ni upuuzi tu na huna cha kuniambia kuhusu eneo hilo ambacho mimi kwangu kitakua kipya
 
Ungebahatika ukajua mimi ni nani katika historia ya mashariki ya kati hata usingekuwa unabwabwaja ovyoovyo hivyo. Wewe umesoma nilichoandika na ukaona ni upuuzi kwa kuwa wewe mwenyewe ni mpuuzi la sivyo ungeniambia hapa nimekosea au hapo umesema kweli nilichoandika ndiyo ukweli lakini ukiwa mpuuzi utapuuza lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
 
Kama kweli wewe ni kitu katika M.E andika bila bias kwa uegemee upande wowote ukishachagua upande tu hizi story zako zinakosa value mimi siwapendi mazayuni lakini walichofanya siwezi kupindisha kama ni kweli nitasema kama ni uongo nitasema japo mimi interest yangu iko upande wa resistance na issue yoyote inahuyusu resistance naileta humu kama nilivyoipokea bila kuongeza wala kupunguza, kuna watu wanaumia wanakufa wanafungwa ndugu zao tunawasiliana nao siwezi kuacha kuwaamini wao nikusikilize wewe, najua mtu mwenye maumivu ya kweli yanayoonekana si rahisi kudanganya kuliko anayesikiliza na kuanza kusimulia wengine so relax brother and report what's happening not what you hear, lakini kingine mimi habari inayotoka direct kwa mazayuni huwa napima nachuja kweli kweli siwezi kuichukua kwa first release, mfano issue ya mabasi yaliyolipuka aliwabebesha Al Qasam lakini leo hii Al Qasam kapinga vikali kuhusika, na ukiangalia mjinga gani wa kulipua gari tupu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…