Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao. Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.

Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.

Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.

Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao.Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.
Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.
Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Tusichoke sheikh kuanzisha uzi kama hizi ili kuwatia moyo wenzetu. Ila naona wengine wametuachia sisi tu tupambane. Sisi tusikate tamaa... Tuseme wayahudi wengi wamekufa mwaka mpya. Tuendelee kuanzisha nyuzi nyingi nyingi tuwashinde hata kwa maneno
 
Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao. Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.

Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.

Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.

Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao. Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.

Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.

Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.

Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Inaumiza sana.. mpaka sasa wenzetu zaidi ya 22,000 wameuawa na wayahudi. Na nchi ya palestine imeharibiwa sana....

Wasome aljazeera hapa

Sijui kingereza ni tatizo au mnakosa content za ku support unachoshabikia. Nimepitia hiyo link kwa kusoma na kuangalia video iliyopo naona ni waPalestina ndio wanaolia na wanasema karibu wapalestina 21k+ wamekufa toka vita ianze. Endeleeni kukaza moyo mtafika tu
 
Tusichoke sheikh kuanzisha uzi kama hizi ili kuwatia moyo wenzetu. Ila naona wengine wametuachia sisi tu tupambane. Sisi tusikate tamaa... Tuseme wayahudi wengi wamekufa mwaka mpya. Tuendelee kuanzisha nyuzi nyingi nyingi tuwashinde hata kwa maneno
Acha kejeli zako hizo.
Si mlidhani maumivu yatakuwa kwa wapalestina peke yao.Kumbe vilio na kwenu pia vipo.Ujue uchokozi hauleti furaha kwa anayechokoza wenzake
 
Sijui kingereza ni tatizo au mnakosa content za ku support unachoshabikia. Nimepitia hiyo link kwa kusoma na kuangalia video iliyopo naona ni waPalestina ndio wanaolia na wanasema karibu wapalestina 21k+ wamekufa toka vita ianze. Endeleeni kukaza moyo mtafika tu
Hicho ni chanzo tu,Mimi si mkalimali wa habari,
Akili zenu zikoje nyinyi kila kitu kiiengereza.
 
Kama sio mkalimani kabla hujapost usiweke link inakukataa we mwenyewe. Ndio maana nikasema unakosa content ya ku support unachoshabikia mwisho unaweka link inakukataa
 
Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao. Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.

Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.

Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.

Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Wanaogopa kufa? Wapumbafu sna. Watched wafe halafu wakachomwe
 
Kama sio mkalimani kabla hujapost usiweke link inakukataa we mwenyewe. Ndio maana nikasema unakosa content ya ku support unachoshabikia mwisho unaweka link inakukataa
Kanuni hizo umefundishwa chuo gani.
Jee nilichoandika hakiko kwenye hiyo link uliyosoma.
Ikiwa hupendi ukweli unaotokea usilazimishe sote tufuate mpango wako.
Jee sherehe zilikwenda kama zilivyopangwa au zilivurugwa ?
 
Acha kejeli zako hizo.
Si mlidhani maumivu yatakuwa kwa wapalestina peke yao.Kumbe vilio na kwenu pia vipo.Ujue uchokozi hauleti furaha kwa anayechokoza wenzake
Kabisa sheikh tuendelee kupambana. Wale wayahudi hatorudi kwao hata mmoja.... Lazima tuwakarishe humu humu ndani. Tusiache kutunga nyuzi mbalimbali. Mapambano yanaendelea.
 
Hakuna kutunga nyuzi.Tunapashana habari kwa yale yanayotokea ili iwe ni ushahidi kwa kitakachomtokea Israel huko mbeleni na iwe ni ushahidi kwa wengine watakaokataa ukweli.
Mayahudi wanarudi kwao kinamna mbali mbali.Wako maiti, majeruhi na vichaa.
 
Acha wauane tu, kila nchi na ifanye mambo yake
 
Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao. Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.

Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.

Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.

Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Habari hizi bila picha ni hazina tofauti na hadithi za mtume mohammad🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna kutunga nyuzi.Tunapashana habari kwa yale yanayotokea ili iwe ni ushahidi kwa kitakachomtokea Israel huko mbeleni na iwe ni ushahidi kwa wengine watakaokataa ukweli.
Mayahudi wanarudi kwao kinamna mbali mbali.Wako maiti, majeruhi na vichaa.
Nimecheka Sana asee hivi ile habari ya maji chumvi ya baharini iliishia wapi? Wale jamaa ni vichaa kwakweli nilipoona wanashusha tu majengo nikajua hamna jeshi hapa ilikua wanapiga bit ili wahuni waufyate kumbe ndio kunakucha naskia hamas wamepata hasira Yale matukio ya October 7 watayapiga kishenz yan wakiondoka
 
Hakuna kutunga nyuzi.Tunapashana habari kwa yale yanayotokea ili iwe ni ushahidi kwa kitakachomtokea Israel huko mbeleni na iwe ni ushahidi kwa wengine watakaokataa ukweli.
Mayahudi wanarudi kwao kinamna mbali mbali.Wako maiti, majeruhi na vichaa.
Tena wayahudi wameisha kabisa... Wamechapwa vibaya sana. Na wengi wanaonekana wanaokota makopo huku palestina. Safi sana. Na wengine wamepatwa na upele wanajikuna muda wote na silaha wanaweka chini. Kifupi tumewachapa sana. Mayahudi wanakufa kama kumbikumbi. Maarabu tumeshashinda hii vita. Safi sana. Hizi habari tuwaambie na wenzetu watangaze. Mimi nakufuata inbox kukupa mwongozo mwingine. Mpaka jamaa waombe poo
 
Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao. Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.

Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.

Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.

Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Ila Israel ikishusha mvua za makombora pale Gaza ulimwengu mzima wa wafia dini unapaza sauti Israel inaua wanawake na watoto na wapalestine wanauawa haya ni mauaji ya kimbari ila Hamas wakirusha maroketi yao wafia dini wote mnawashabikia na kuwapongeza Hamas sasa huwaga hiyo mvua ya maroketi Hamas wanalengo makambi ya jeshi au wanajirushia hovyo hovyo kwenye ardhi ya Israel kuwapata wananchi wowote ila huwezi kusikia mauaji ya kimbari ya Israel
 
Back
Top Bottom