Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.

Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu wakimbilie kwenye mahandaki yao. Kizaazaa hicho kilikuwa ni kwa nchi nzima kuanzia mji mkuu wa TelAviv.

Kijana Gabriel Zemelman, 26 amesema sote tuliogopa tukiwa tumejibanza kwenye vipembe na nyoyo zikitudunda.

Naye Ran Stahl, 24 amesema kila akitaka kucheza anashindwa akimkumbuka rafiki yake aliyekuga oktoba 7 kwenye tamasha la muziki la Nova.

Kila akitaka kuinua mguu anajihisi mkosa huku rafiki yake huyo akimjia machoni.

Israel begins new year under rockets barrage as army pounds Gaza

Bila kideo ni umbea
 
When the baby killer army is not making TikTok videos or stealing toys in a toy store or desecrating a mosque or humiliating Palestinian civilians....

This picture is when they have to face real men like Johnny Hamas who had his all family killed by IDF, Johnny Hamas had his dignity and land stolen, nothing to lose, he is a beast who will eat you alive because he has been at war his all life, in a struggle for survival living in an open air concentration camp.... while average Zionist "wannabe Rambo" closest contact with war was playing with playstation and occasional paintball games.
"Johnny Hamas will come after you IDF POS, he will aunt your dreams, you will need your diapers at night"
IMG_20240102_103516.jpg
 
When the baby killer army is not making TikTok videos or stealing toys in a toy store or desecrating a mosque or humiliating Palestinian civilians....

This picture is when they have to face real men like Johnny Hamas who had his all family killed by IDF, Johnny Hamas had his dignity and land stolen, nothing to lose, he is a beast who will eat you alive because he has been at war his all life, in a struggle for survival living in an open air concentration camp.... while average Zionist "wannabe Rambo" closest contact with war was playing with playstation and occasional paintball games.
"Johnny Hamas will come after you IDF POS, he will aunt your dreams, you will need your diapers at night"View attachment 2859863
Vidio za Rambo sio vita halisi walivyokutana navyo Gaza.
 
Sijui kingereza ni tatizo au mnakosa content za ku support unachoshabikia. Nimepitia hiyo link kwa kusoma na kuangalia video iliyopo naona ni waPalestina ndio wanaolia na wanasema karibu wapalestina 21k+ wamekufa toka vita ianze. Endeleeni kukaza moyo mtafika tu
usikae mbali sana na dunia kisa hujui kiingereza,hakuna asiyejua israel wamepeleka jeshi GAZA kuua raia,ila juzi zile rocket 20+ zilizorushwa tel aviv wakati wa sherehe za mwaka mpya hata km hazijaua mtu ila zitwafikirisha sana raia wenye akili timamu pale israel kwamba hawa watu kumbe wanaweza kutua vibaya km jeshi letu linavyoua watu wao huko GAZA
Idadi ya vifo vilivyosababishwa na israel GAZA si kitu kwa wapambania uhuru kwa sababu hiyo kamwe haitawafanya wanyooshe mikono juu na kuiacha ardhi yao ila je,HAMAS wakiua raia 1000 tu pale tel aviv itakuwa kitu cha kawaida kwa waisrael au wataomba yeshe!!!
 
Nimecheka Sana asee hivi ile habari ya maji chumvi ya baharini iliishia wapi? Wale jamaa ni vichaa kwakweli nilipoona wanashusha tu majengo nikajua hamna jeshi hapa ilikua wanapiga bit ili wahuni waufyate kumbe ndio kunakucha naskia hamas wamepata hasira Yale matukio ya October 7 watayapiga kishenz yan wakiondoka
@MK254 ngoja huyu mzayuni aje atwambie kama yale maji yalijaa ama bahari ilikauka maana hawachelewi hawa majama
Enheee kwako mzayuni
 
usikae mbali sana na dunia kisa hujui kiingereza,hakuna asiyejua israel wamepeleka jeshi GAZA kuua raia,ila juzi zile rocket 20+ zilizorushwa tel aviv wakati wa sherehe za mwaka mpya hata km hazijaua mtu ila zitwafikirisha sana raia wenye akili timamu pale israel kwamba hawa watu kumbe wanaweza kutua vibaya km jeshi letu linavyoua watu wao huko GAZA
Idadi ya vifo vilivyosababishwa na israel GAZA si kitu kwa wapambania uhuru kwa sababu hiyo kamwe haitawafanya wanyooshe mikono juu na kuiacha ardhi yao ila je,HAMAS wakiua raia 1000 tu pale tel aviv itakuwa kitu cha kawaida kwa waisrael au wataomba yeshe!!!
Sasa wanashindwa vip kuua hao watu? Nilichoandika na ulichoandika ni vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom