Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hakuna kuwaachilia mateka. Kaeni nao tu.
Kawasaidie kupiganaHamas wametuangusha Sana kusitisha vita kama wamekubali kuachia mateka itakuwa mwisho wao..
Sisi ndugu zao katika Imani tutaweka wapi Sura zetu? Tunawaomba Hamas waendelee kukomaa kwasababu ushindi bado ni wetu
Bila shaka waliokufa ni wengi zaidi ya hao mateka sio kwa Israel au Palestine.Hata kama ni itikadi au common cause waliyonayo hamas binafsi sidhani kama ni sahihi kuacha maelfu wakifa na wengine waki starve to death kisa mateka hao wachache wa Israel.
Kwamba thamani ya hao mateka wachache wa Israel ni sawa na maelfu wanaokufa?
Sisi Hamas wa tandahimba tunasubiri kwanzaKawasaidie kupigana
Siyo unaongea ukiwa Tandahimba
Kwa hiyo wataka kusema yote ni sawa kwamba watoe mateka au wasitoe mauaji yataendelea?Bila shaka waliokufa ni wengi zaidi ya hao mateka sio kwa Israel au Palestine.
Nadhani hilo la mateka ni kutaka kuonekana nani mkubwa tu ila sidhani kama ni issue ambayo Israel wanaishikia bango ati ndio sababu ya mashambulio yote tangu 7 October.
Kama Hamas wangegoma kutoa hao mateka bila shaka wangekufa nao kama wapo hapohapo Gaza.
Labda hesabu zao ilikua wasitoe mateka ili wawashenyente wakiwa na hicho kijisababu.Kwa hiyo wataka kusema yote ni sawa kwamba watoe mateka au wasitoe mauaji yataendelea?
Huenda ikawa hivyo mkuu ngoja tuoneLabda hesabu zao ilikua wasitoe mateka ili wawashenyente wakiwa na hicho kijisababu.
🤣🤣🤣 Wameshtuka ulikuwa mtego.