Hamas wanataka kutema Bungo. Wasikubali waendelee kuwashikilia mateka tupo pamoja nao

Hamas wametuangusha Sana kusitisha vita kama wamekubali kuachia mateka itakuwa mwisho wao..
Sisi ndugu zao katika Imani tutaweka wapi Sura zetu? Tunawaomba Hamas waendelee kukomaa kwasababu ushindi bado ni wetu
 
Hata kama ni itikadi au common cause waliyonayo hamas binafsi sidhani kama ni sahihi kuacha maelfu wakifa na wengine waki starve to death kisa mateka hao wachache wa Israel.

Kwamba thamani ya hao mateka wachache wa Israel ni sawa na maelfu wanaokufa?
 
Hao Hamas wasikubali,wakiwaa chia hao mateka watanyeshewa mvua za mabomu mpaka wafurahi.
 
Bila shaka waliokufa ni wengi zaidi ya hao mateka sio kwa Israel au Palestine.
Nadhani hilo la mateka ni kutaka kuonekana nani mkubwa tu ila sidhani kama ni issue ambayo Israel wanaishikia bango ati ndio sababu ya mashambulio yote tangu 7 October.

Kama Hamas wangegoma kutoa hao mateka bila shaka wangekufa nao kama wapo hapohapo Gaza.
 
Wakisharudisha tu mateka basi,yahudi ndio atawatandika to the maxmam,warudishe wasirudishe hamas mwisho wao umeshafika na gaza strip ndio ishaenda na yahudi
 
Hamas walijichanganya na kujaa kwenye mfumo wenyewe.
 
Kwa hiyo wataka kusema yote ni sawa kwamba watoe mateka au wasitoe mauaji yataendelea?
 
Mateka wamewasaidiaje mpaka sasa? Au wanawasaidia nini, kutafsiri lugha au nini?

Ujinga tu kushikilia maiti za waisrael huku wao wakifa kwa maelfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…