HAMAS waomba Israel ikisitisha mapigo kwa siku tano wataachia mateka 70

Waswali Ijumaa huwa hazimo kichwani
 
Hao viongozi wa Hamas wako wapi? Au wako nje ya nchi
 
Wasiwape pumzi hata sekunde magaidi hao, wanataka muda wa kuandaa makombora mengine, Shwaini hao.
 
Israel isikubali kabisa huu mpango. Wanezidiwa,hawana chakula ,madawa, maji ,hawana umeme kwenye mashimo, wanakuja na sharti misaada itolewe maeneo yote ya Gaza, hii imelenga nao wapate ama kwa kuipokea na kuipeleka mashimoni.
Lazima watu wafe kwa ajili ya wengi.
Kwa muda huu inatakiwa kipigo kiongezeke mara tano zaidi ili waamue wenyewe,wenzao wawendelee kufa au waachie mateka wote.
 
Wawaachie wote la sivyo watavamiwa kikomando wabaki na aibu. Picha la entebe linaweza kujirudia likiwa limeboreshwa. Kuliko kuja kuabika bora wawaachie mateka hao ki namna
 
Mkuu source yako waarabu 🤣🤣🤣🤣???
Warabu ni bora wengi ni wa kweli 80% Wazungu lini walikuwa wa kweli ukipata ni 10% wa Israel ni 5% ndio wa kweli.

Nasikia mnadaka mende mlidhani mtawakuta Hamasi kwenye mashimo ya choo 😄
 
Hakuna ceasefire hao magaidi wawaachilie hao mateka bila masharti na wao ni nani kuwapa Israel masharti, hata hawana aibu hawajui hilo ni taifa teule la Mungu wa ukweli (Jehova). Bogus kabisa.
 
Dah! Njemba kanigwa kweli kweli (hapo ujue ni almost three fold ya idadi ya awali).
Je, hao waliokwisha kufa inakuwaje? HAMAS ni jeuri kweli. Ngoja m-Israel shujaa aendelee na kazi muhimu ya kuwanywesha dawa.
Hata HAMAS angesema ataachia mateka wote mbado kipondo kitaendelea mtindo mmoja kwani watakuwa(HAMAS) hawajatekeleza sharti la kujisalimisha wao na silaha zao zote. 😳
 
Hakuna ceasefire hao magaidi wawaachilie hao mateka bila masharti na wao ni nani kuwapa Israel masharti, hata hawana aibu hawajui hilo ni taifa teule la Mungu wa ukweli (Jehova). Bogus kabisa.
NAKAZIA.
 
Sijasikia wazungu wakiandamana kuwapinga Hamas kwa utekaji.
Hanas hawasikii maandamano wanachojua Risasi tu.Masikio wameziba na super glue

Wazungu wanatoa misaada ya kijeshi ya Risasi .Lugha pekee anayoelewa Hamas
 

View: https://youtu.be/ANKSbhVK-4E?si=D3Gch-ccRJXCO1xV
Abu Obaida anajibu uwongo wa mtoa mada, anasema kwenye dealing ambayo Israel ka offer ni atawachia watoto wa Palestine 200 na wanawake 75 na watasimamisha vita wao siku tano ili Hamasi awachie wanawake 50 na watoto 20 total 70 wa Israel, lakini Israel anakwepa sasa ana ona aibu hakukomboa hata mmoja wa matekwa wake😄
 
Kwanini 70?
Achieni wote au kibano kiendelee kuwapata hadi mtoweke ktk uso wa dunia!
Hata wakiachia wote bado kibano kitaendelea kuwapata hadi watimize sharti la kujisalimisha wao (in person)na silaha zao zote.. Vinginevyo wanaenda kufutwa kwenye uso wa dunia. Chezea mwingine Usicheze na Myahudi - Atakupasua bandama broo.
 
Hawana jinsi vita vinaenda vibaya upande wake
Hatujamsikia Israel akilia-lia lia kama HAMAS. Huo ni uthibitisho kuwa amemkamatia HAMAS chini na kamkunja kweli kweli. Hana sababu ya kulia lia kwani vita anavimudu sawia.
 
Waambie mabasha zako si ndiyo wanauwa watoto na mama zao
Yote hayo (kama ni kweli hiyo picha) HAMAS; HAMAS ndio kimsingi walio pelekea hayo yatokee kwa kitendo chao cha tar.7/10/2023. Halafu inashangaza sana wamefanya tukio hadharani na kujisifu, lakini leo wanakuja na kauli fikirishi wanakataa eti hawakufanya hivyo ila ni Israel. Ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…